Hakika ninamsubiri Dr. Slaa akifika Mbeya nahama CCM

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
2,215
Reaction score
329
Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.
 
Nitaleta majina yangu kamili soon.. Stay tuned
 
Njaa tu zinakusumbua, unakabidhi vifaa vya kazi?
 
Mbona unqchangia mada wewe mwenyewe, kulikoni?
 
Ulichelewa sana,lakn karibu tuendeleze mapambano dhidi ya CCM
 
Mkuu.... Si mbaya sasa ni mtaa kwa mtaa.. Nakaa itezi mashariki .mwenye number ya simu ya Katibu wa tawi hili anisaidie nimpate Katibu Wang itezi tupate diwani na wenyeviti wa Cdm.
 
Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.
Huyo Slaa asipofika hautarudisha kadi? Na akifa hautahama chama? Mbona nyie vijana mko kama mmelogwa!
Unaongea kama umevimbewa njugu mawe.
 
Mkuu.... Si mbaya sasa ni mtaa kwa mtaa.. Nakaa itezi mashariki .mwenye number ya simu ya Katibu wa tawi hili anisaidie nimpate Katibu Wang itezi tupate diwani na wenyeviti wa Cdm.

Hongera sana kwa kujitambua hawa akina thatha thebigbobo MSALANI, watakuja kujitambua bdae sana
 
Last edited by a moderator:
Huyo Slaa asipofika hautarudisha kadi? Na akifa hautahama chama? Mbona nyie vijana mko kama mmelogwa!
Unaongea kama umevimbewa njugu mawe.
Tumia akili wewe.. Si wote tulao njugu mawe zenu za ccm. Huyu dr slaa ni kiongoz wangu na ntamuheshimu pia anajenga hoja sana na hata kufa Leo wala kesho... Utakufa wewe
 
Labda niseme tu... Huku mm ni Katibu wa ccm tawi la itezi mashariki.... Nasema namsubiri mtu nlompenda siku zote na kumpa kura yangu 2010
 
hivi mpaka leo ulikuwa ccm ? Hata hivyo nakupongeza kwa kujitambua , ccm imebaki kuwa chama cha viongozi na familia zao .
 
Labda niseme tu... Huku mm ni Katibu wa ccm tawi la itezi mashariki.... Nasema namsubiri mtu nlompenda siku zote na kumpa kura yangu 2010

baada ya kutangaza nia hiyo hakikisha haurudi tena kwenye ofisi yao , hawachelewi kukuroga !
 
Back
Top Bottom