Hakika ninamsubiri Dr. Slaa akifika Mbeya nahama CCM

Mkuu ferre.g hongera kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.Hakikisha unahama na tawi lote hapo Itezi.
 
Khaa!! Huu ndiyo ujinga.. utampendaje binadamu mwenzio ndiyo utegemee akubadilishie maisha yako?? Je Mungu akimpenda zaidi yako ndiyo mwisho wa maisha yako?? Halafu eti ndiyo unadai umejitambua kumbe bure kabisa!!
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe wewe tangia mwanzo ni cdm, labda ungelisema unatoka chagadema na kujiunga act.
 
Katibu wa tawi..... Hili tawi lazima liende Cdm ssa.

Mimi nakupongeza ukiona Vibaraka wa CCM wanapiga kelele ujue wameshaumizwa vibaya! Ushauri wangu usisubiri Dr. Slaa aje ndo utimize azma yako ya ukombozi, kuna viongozi wa wilaya, mkoa na Mbunge wetu ukiwapa taarifa wanaweza kukuandalia mkutano kwenye Tawi lako na ukawalambisha CCM mchanga asubuhi na mapema.
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe wewe tangia mwanzo ni cdm, labda ungelisema unatoka chagadema na kujiunga act.

Kama magamba walivo jitekenyenya na kucheka wenyewe pale Dom.
 
Mkuu ferre.g hongera kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.Hakikisha unahama na tawi lote hapo Itezi.
ni muhimu hilo likatekelezwa mkuu..... Nipo kikampeni zaidi nitabeba wote
 
Khaa!! Huu ndiyo ujinga.. utampendaje binadamu mwenzio ndiyo utegemee akubadilishie maisha yako?? Je Mungu akimpenda zaidi yako ndiyo mwisho wa maisha yako?? Halafu eti ndiyo unadai umejitambua kumbe bure kabisa!!
Dr anakuuma nn? Ktk dunia kila jambo lina modal wake... Huyu kwangu ni zaidi ya mwalimu.......
 
Mimi nakupongeza ukiona Vibaraka wa CCM wanapiga kelele ujue wameshaumizwa vibaya! Ushauri wangu usisubiri Dr. Slaa aje ndo utimize azma yako ya ukombozi, kuna viongozi wa wilaya, mkoa na Mbunge wetu ukiwapa taarifa wanaweza kukuandalia mkutano kwenye Tawi lako na ukawalambisha CCM mchanga asubuhi na mapema.
Mkuu asante kwa ushauri Mzuri.... Nalifanyia KAZI
 
Mkuu ferre.g hongera kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.Hakikisha unahama na tawi lote hapo Itezi.
ni muhimu hilo likatekelezwa mkuu..... Nipo kikampeni zaidi nitabeba wote
 
Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.

MBONA sijakuelewa kwenye mabo mawili.
1.a)umejitambua yaani umejitambuaje?
b)utambuzi wako unahusiana na nini?
C)na hapo mwanzo uliishije bila ya kujitambua?

2.toa ufafanuzi zaidi kuhusu CCM kukanyaga mstari MWEKUNDU.
 
Back
Top Bottom