Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

daah hii nyimbo nikiisikiaga stak purukushan huwa natulia tulii...then nawaza mbali sanaa....jamaa ni mkali mwisho....hasa pale ahaaaaaaaaaaa usilieeee...ahaaaaaaa kaza moyoo...dah

hakika
 
and now naskiza wimbo wake mpya wa nani kama mama! mtamu huo wimbo,chistian acha kuharib life yako na masembe du!!
 
Christian Bella Obama. Koffi mwenyewe anatambua uwepo wake katika ma vocal
 
aaaaaaaaaa aaa usilie....aaaaaaa aaa kaza moyo...nasikia leo yupo bukoba...najuta kwa nini nimeanza likizo j4....
 
Unajua hawa wasanii ni wapumbavu kabisa maana wakiwa na mafanikio kidogo wanataka kuonja kila starehe,mwishowe wanadondokea huko kwenye ngada.
Ina sikitisha sana kuona vijana wana potea na vipaji vyao.
I hope kaacha.
 
Kama ni kweli najutaaaa kupendaaa najutaaaa....
Damn acha kabisa am in love wit tht song
 
aaaaaaaaaa aaa usilie....aaaaaaa aaa kaza moyo...nasikia leo yupo bukoba...najuta kwa nini nimeanza likizo j4....
Akitoka huko ni shinyanga,kahama alaf mwanza kwenye kili tour watapata burudani san.

Kitu cha Mamaa,Mamaa eeh
 
jamaa nilienda kwenye live show yake siku moja...pale mango garden then night kali maisha club...toka siku hiyo bongo flavour inakua ngumu kwangu kuzipenda..
 
jamaa nilienda kwenye live show yake siku moja...pale mango garden then night kali maisha club...toka siku hiyo bongo flavour inakua ngumu kwangu kuzipenda..
Umeona eeh! Yani hawa bongo flavour unaweza kuona utumbo tuu!
Jamaa anaimba live unaweza ukafikiri yuko studio ni hatari.
Nilienda show yake moja akaimba wimbo wake wa Asubuhi/usilie daa watu walikuwa wanatokwa na machozi, akaunganisha na hule Nakuhitaji...... Weee acha tuu.
 
akiwa ana perform kibao chake cha usilie (asubuhi) waga nafurahi watu wanavyoitikia kwenye kiitikio...ukumbi mfano pale maisha unakuwaga hivi:

bella: aaaaaaa aaaa aaaa
watu: usilieeee

bella: aaaaaa aaaaa aaaa
watu: kaza moyooo
 
Back
Top Bottom