Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

Ni mwimbaji mzuri sana..Tatizo wanaojua Music Bongo ni wachache sana...

Mimi binafsi sijawahi kuipenda Bongo fleva..Sioni wanachofanya zaidi ya kupiga kelele..kuimba hawajui..

Ongezea na kushika ''fulaizi'' na pia kuuza sura ili wazee wa legion wawanunue kwa laki si pesa
 
Ongezea na kushika ''fulaizi'' na pia kuuza sura ili wazee wa legion wawanunue kwa laki si pesa

hahahahaha daaa uki hudhuria show za christian Bella unaweza kuacha kushabikia Bongo flavour
 
hahahahaha daaa uki hudhuria show za christian Bella unaweza kuacha kushabikia Bongo flavour

penye sifa lazima tumwage sifa jamaa kabarikiwa kwa kuimba na ana sauti tamu halafu ana pumzi,ngoja niburudike na zile oldies za Akudo''Mapenzi kitu gani''
 
Duuuh... nimeusikia huu wimbo NANI KAMA MAMA...

MMMHHH... Bella anatishaaa... Dimpoz pia kajitahidi furukuta humo.. tofauti na Banana alipotezwa mbayaa...
 
Duuuh... nimeusikia huu wimbo NANI KAMA MAMA...

MMMHHH... Bella anatishaaa... Dimpoz pia kajitahidi furukuta humo.. tofauti na Banana alipotezwa mbayaa...
Umeona eeeh mkuu mpenda pombe, dimpoz ameutendea haki sana na amejita hidi sana!
Me napenda Sana pale Bella ana poanza..... Nani kama Mama,heshima kwa mama,ulinibeba miezi tisa tumboni mwako....
Polesana Mamaaaaaah,Nikupe niniii.....
 
Last edited by a moderator:
penye sifa lazima tumwage sifa jamaa kabarikiwa kwa kuimba na ana sauti tamu halafu ana pumzi,ngoja niburudike na zile oldies za Akudo''Mapenzi kitu gani''
Noma sana,
 
Ule wimbo alioimba na Banana ndio unanitoa roho hasa kwenye kiitikio.!!
Unaitwa Asubuhi!
"Christian Bella asubuhi himefika,sakumi na mbili, jogooo ameshawika ,kokorikoooo"
 
Huo wimbo wa kokoriko tu, sina hamu.

Ni zaidi ya takataka zote za diamond na bongo flavour wenzake.

Bella ni next level.
 
Unaitwa Asubuhi!
"Christian Bella asubuhi himefika,sakumi na mbili, jogooo ameshawika ,kokorikoooo"

daah hii nyimbo nikiisikiaga stak purukushan huwa natulia tulii...then nawaza mbali sanaa....jamaa ni mkali mwisho....hasa pale ahaaaaaaaaaaa usilieeee...ahaaaaaaa kaza moyoo...dah
 
Alaf ana nyingine ni ya muda kidogo alifanya na Mr blue,hahaha wanalalamika huko ndani mbaaaya, Yani bonge la ngoma
 
Back
Top Bottom