Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

Nilijua tu jamaa atakuwa mbea wa chini chini sasa anataka kutoka na hana pa kutokea inabid aje kwa gia ya kutuponda, wewe mtu anatujua group letu lote na anajua tunacho discuss daily sasa binamu huyu kama sio mbea kitu gani? Alipata wapi mda Wa kutuchunguza tunapost nn kama na yeye sio mbea?

Mmbea mwenzangu achana nao.
Hebu tupia kile kitu.
 
Back
Top Bottom