All the best Taifa Stars, All the Best Chama la Wana Wekundu wa Msimbazi

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Katika watu wenye imani na matarajio makubwa na Stars basi am one of them yaan full confidence, wachezaji wetu wanajiamini, wamepata maandalizi ya kutosha sana, isitoshe wachezaji wa kimataifa wanaocheza ligi ya Bongo wamesaidia sana kujenga confidence kwa wachezaji wetu, hata TFF wakiongeza wachezaji wa kigeni wawe 15 to me will be much better.

Leo Bajana akimuona Mayele pale Afcon hamuogopi, Leo Fei akimuona Chama ama Musonda hamuogopi kwa sababu tuko nao hapa bongo na tunakabiliana nao vizuri t, wachezaji kama akina Akaminko, Dube, Babacar Sarr, Sadio Kanoute, Saidoo, Aziz Ki, Diarra, Pacome ni wachezaji wa kimataifa na wanastahili kuchezea mataifa yao, aidha wana uwezo wa kucheza ligi za France, Scotland nk, hivyo wamesaidia sana kutuimarisha.

Nna uhakika a hundred percent kama hatuendi hatua ya 18 bora basi robo fainal tupo, viva Tanzania viva Stars.

Hapa Zanzibar ambapo nipo tangu siku ya kwanza kuhakikisha ndoo inafika pale Msimbazi, sina shaka na ss hv nampokea King Faida mzee wa kigoma tuanze kukipiga zanzibar yote hii, "nasikia kelele huko wanalia, kwan vip mnyama kafanya yake" Nyie mnaokula Ndege mnatafuta Kiki tu, Simba sio saizi yenu.

Mwaka 1990 pale uwanja wa shamba la Bibi wakati Simba ikicheza na African Sports, African Sports walikuwa na kikundi cha ushangiliaji ambacho kilileta msisimko mkubwa ktk kuimba, nakumbuka Sports walikuwa wanamhofia sana mshambuliaji wa Simba wakati huo marehemu John Makelele maarufu Zig zag na wakamtungia wimbo beki wao Sports ambaye alikuwa ni Bakary Tutu wakiimba hivi " Bakary Tutu, nikabie Makelele" lakink Makelele aliwaua hivo hivo kudadeki, Leo Benchia weka Kulia Micquisone kushoto Chasambi, chini Ngoma nane Kanoute mapema tu.
 
Back
Top Bottom