Haki ya mimba na uhai wa kiumbe

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
90
Wadau salamu sana.Naomba niwe muwazi kwenu ili mnisaidie.
Huku Songea kuna mtaa unaitwa bombambili.Nilibahatika kumpata mdada fulani akasema hana mume.Nikawa nalala hadi kwao naye anakuja kulala kwangu.
Juzi kanipa taarifa kuwa ana mimba na mume wake anarudi ijumaa ijayo akitokea Malawi, na anataka akatoe mimba ili kuepuka fedheha kwa mumewe.Nikawambia mbona ulinihakikishia huna mume?Akasema samahani alibanwa na maisha na hakujua kama mumewe angerudi maana ni mfanya biashara na alikata mawasiliano akawa hapatikani.
Sasa wadau mimi nadai mwanangu na sitaki atoe ila amekazana kuwa lazima atoe.Hebu wadau nifanyeje kupigania haki yangu?
Nisaidieni kabla hajatoa.Nimemtisha kwa mengi ila anasema hakuna cha kumzuia maana mimba ipo kwake anafanya anachotaka.Nifanyeje?
 
Sina cha kukushauri. ....ila endelea kudai mimba mkuu....na haswa pale mumewe atakapojua umemkunja mkewe mpaka kum-mimba.....

(anyway kiafrika afrika kitanda hakizai haramu mtoto wa mumewe huyo)
 
Wote mna makosa, tena sana tu, ila kama sijaelewa mahala fulani, umesema hapo juu ya kuwa, 'ulikuwa unalala kwao naye anakuja kwako?', sasa ningependa tujuzwe kwao kwa maana ya nyumbani kwa wazazi wake ama kwao kwa maana ya kwake yeye na mumewe? Vipi kuhusu jirani, hakuna hata mmoja aliyekushtua ya kuwa huyo ni wa mtu mke? Tukijibiwa haya, tutarudi kushauri.

Ahsante!
 
Kulala kinyumba na mke wa mtu ni dhambi (kosa - Amri za Mungu, Amri ya 9), pia kuna mdhara, tena makubwa tu, ukizingatia tayari amebeba ujauzito unaoamini ya kuwa ni wako. Sasa hapa yaweza kuwa ulijua ama hukujua, ila tayari ni mke wa jamaa mwingine.
Kuzini kabla ya ndoa ni dhambi (kosa - Amri ya 6 ya Mungu).
Nasubiri majibu yako Mkuu.

Ahsante!
 
Wadau salamu sana.Naomba niwe muwazi kwenu ili mnisaidie.
Huku Songea kuna mtaa unaitwa bombambili.Nilibahatika kumpata mdada fulani akasema hana mume.Nikawa nalala hadi kwao naye anakuja kulala kwangu.
Juzi kanipa taarifa kuwa ana mimba na mume wake anarudi ijumaa ijayo akitokea Malawi, na anataka akatoe mimba ili kuepuka fedheha kwa mumewe.Nikawambia mbona ulinihakikishia huna mume?Akasema samahani alibanwa na maisha na hakujua kama mumewe angerudi maana ni mfanya biashara na alikata mawasiliano akawa hapatikani.
Sasa wadau mimi nadai mwanangu na sitaki atoe ila amekazana kuwa lazima atoe.Hebu wadau nifanyeje kupigania haki yangu?
Nisaidieni kabla hajatoa.Nimemtisha kwa mengi ila anasema hakuna cha kumzuia maana mimba ipo kwake anafanya anachotaka.Nifanyeje?

Mahusiano yana kazi sana hata kuuliza kwa watu juu ya huyo bindi?
 
mkuu mie naomba tu unifafanulie hapo nilipo bold
kwani sijawahi kuona mwanaume ukaenda kumpigia
paipu mwanamke nyumbani kwao tena hadi ukafikia
hatua ya kumpa mimba,
vipi wazazi wake walikupa idhini ya kumchapaia nyumbani kwao...??
Labda tuanzie hapo kwanza.
 
Nakushauri akitoa mimba nenda kamwambie mume wake Ukweli hili iwe fundisho kwake
 
Kwanza una uhakika gani kuwa hiyo mimba kweli ni yako? kama alishindwa kumvumilia mmewe akiwa safarini kutafuta maisha atashindwaje kukuzuga na wewe? Huyo mwanamke ni msaliti na mimi nina uhakika hayo alokwambia amekudanganya.
Mkuu kama ameamua kuendelea na huyo mmewe we achana nae, atoe mimba au asitoe ni shauri yake. Kama akitoa hauna hatia ila damu itamlilia yeye na mmewe, ijapokua mmewe hajui, mmewe hiyo laana itamtafuna maana wao wameunganishwa ktk ulimwengu wa roho, ndoa ni ungano linaloanzia rohoni kisha mwilini. Kwahiyo Mkuu, wewe kuwa na amani. Awamu hii Muombe Mungu upate Mke mwema, wala usitumie akili zako ila mwambie Mungu mapenzi yake yatimizwe.
 
Nakushauri akitoa mimba nenda kamwambie mume wake Ukweli hili iwe fundisho kwake

Huyo mwanamke nadhani ni malaya tu, inawezekana hata kusema mmewe alikuwa safarini Malawi ni muongo. Wanawake mda mwingine ni waongo na ni wakatili vibaya sana Mkuu!!!
 
Usichoke kuongeanae utetee uhai wa mtoto,mwambie kuua ni dhambi!Hiyo mimba ni binadamu aliyeumbwa na Mungu kwa sura yake na pumzi yake asisubutu mwambie nitakushitaki!
 
mkuu mie naomba tu unifafanulie hapo nilipo bold
kwani sijawahi kuona mwanaume ukaenda kumpigia
paipu mwanamke nyumbani kwao tena hadi ukafikia
hatua ya kumpa mimba,
vipi wazazi wake walikupa idhini ya kumchapaia nyumbani kwao...??
Labda tuanzie hapo kwanza.

Kwa Songea au Ruvuma inawezekana mkuu.Pia hapo kwao kwa maana ya alipopanga chumba
 
Back
Top Bottom