Nimepata maruweruwe baada ya kusoma hiyo post yako!!![/QUO
Unahitaji msaada maruweruwe yatoweke urudi normal mkuu?
haya jiongeze zetu changanya na zako furaha yetu ni wewe kuwa salama kila siku na mwenye furaha ka toto kasikuingize katika matatizoKama sina girl friend????
Yaani hata sijui niseme nini!!
Sasa nitaipata wapi hiyo ....
Au unayo unipe tafadhali?
Hapa hapa kwenye kuku wengi?
Do you have it?
Sasa niombe mara ngapi?
Why???
Sasa si ndio twende chemba sasa?