tanmo ningeweza kumsaidia kabisaa..kut vikwazo viwili vitasumbua. Moja distance hatuishi mji mmoja so it is a prolem. Mbili hata nikisakrifaisi nikaenda aliko afu niakifekisha, then nikamind alivo msweet km ulivyosema hapo juu, afu nikanogewa na mimi si nitakuwa king'ang'anizi.
Naogopa kuwa mtuhumiwa namba mbili katika kesi hii lol
Mh!!!!!!!!!
So ............!!!!!!!!!!!!!
Naweza kutembea nikaokota burungutu la milioni 10 kweli?