Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

you are just sharing with us a story. mwanaume hawezi kuhitaji msaada kwenye issue direct kama hii.jambo ambalo halihitaji hata ushauri, hata mtoto mdogo angejua chakufanya ili kuepuka matatizo mbeleni. tafakari halafu jiulize mtakuwa wangapi?

Umesoma mada ukaelewa?
 
nimekuelewa sana, sema kuna mada nyingine mtu anaweza kuleta akiuliza maswali, anajua jibu lake lililobora lakini analeta mada kwa watu ili wahalalishe altenative answer ambalo ni ovu. mtu analeta mada ili watu wamsaidie kusema aende akazini na huyo mwanamke mama wa mtoto rafiki. kwahiyo ni mada zinazoletwa ili mtu akusaidie kuhalalisha uovu, kama si hivyo ni kitu ambacho mtu binafsi unaweza kupambanua mapana na marefu ukatoa suluhisho bila hata kuhitaji msaada wa mawazo ya wengine.

Hiki ndicho nilichokisema kwenye mada yangu?
 
sasa huo urafiki na watoto wawatu tena wakike sio mzuri kabisa, utaja pata shida bure, wachunie wote tu, hapo pamesha haribika. mama yake atakuja kukubambikia kesi buree, ukizingatia unampotezea.
 
Eiyer, masikhara pembeni, these past few days what changes have youade regarding this issue.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer, masikhara pembeni, these past few days what changes have youade regarding this issue.

Mekuwa na fujo zaidi
Nilirudi nyumbani siku niliyoweka huu uzi hapa nikakuta ameniandalia juicy nikaikataa
Kesho yake asubuhi akaja akidai eti mwanae[rafiki yangu] mgonjwa nikamwambia ampeleke hosptal akasema hayupo serious sana nikamuambia sawa nitaenda kumuona,hata baada ya kumuambia hayo hakuondoka kurudi nyumbani kwake

Nikamuuliza kinamchomkalisha akaniambia ni kwanini sitaki kuwa baba wa mwanae wa ukweli nikamuambia kuwa ni kwanini yeye anafikiri nastahili kuwa baba wa rafiki yangu tofauti na ambae tayari ni baba[hawara yake] akaniambia kuwa eti mimi ninaonekana nina upendo zaidi kuliko huyo jamaa yake

Nikamuambia amejuaje hili akaniambia eti naonekana hivyo tu

Nikamuambia sihitaju kuwa na mahusiano na sifikirii hivyo na kama anataka niendelee kumpenda mwanae basi aachane na hiyo mada akaniambia kuwa haiwezekani na ni bora urafiki na mwanae ufe kuliko mimi kumkataa

Niliondoka huku nikimshangaa sana,nilimshangaa kwasababu hawara yake ni mtu mwenye hela na msomi kuliko mimi ambae nimeishia darasa la 7 na hela sina kabisa nabangaiza tu

Sijui huyu kama ni mzima kiakili!!
 
Back
Top Bottom