Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

Huku uswahilini mke anaachiwa hela ya kutosha ya chakula, lakini anawalisha watoto ugali matembele na kachumbari hela nyingine anapeleka kwenye kikoba.
 
Huku uswahilini mke anaachiwa hela ya kutosha ya chakula, lakini anawalisha watoto ugali matembele na kachumbari hela nyingine anapeleka kwenye kikoba.
100% wanawake hawanaga akili kabisa
 
Sio lazima utafuniwe kila kitu mkuu.

mada ni kuhusu manara na mkewe. Na watoto wanaosemekana kunyimwa chakula ni wa manara. Next time Ficha ujinga wako unajidhalilisha
 
Kwa level Ya manara.

Chakula kinaandaliwa na kuwekwa mezani na Dada wa kazi. Kila mtu anapakua na kula kwa muda wake.

Sasa Yule manzi anawanyimaje Msosi madogo? Au yeye alikua ndo mama mpishi wa nyumbani anakula chote?

Nazani, Bwana mkubwa alishikwa pabaya, anatafuta chocho ya kutokea
 
Back
Top Bottom