Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,772
- 90,085
- Thread starter
- #41
huyo hua hajielezi gentleman,
ni mzuri zaidi kwenye kuropoka nonsense ambazo hata wanachadema wenyewe huona anaropoka nonsense tu
Kwa style yako nakushauri usije kutana Nate hasa ukiwa public au mbele ya kamera. Kwa sababu atakuabisha. Heche ni Mzuri akikutana na watu Aina yako.
Unamuona Emanuel Nchimbi? Yeye pia anahuo utulivu. Hana papara. Na Kila akiongea anaongea kwa uhakiki
ni rafiki yangu sana gentleman,