Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,772
- 90,088
- Thread starter
- #61
Sawa tutakuandalia interview akufanyie j.lokole basi 😄
Ova
Hapa Gentleman umemuweza
Sawa tutakuandalia interview akufanyie j.lokole basi 😄
Ova
Sasa watu wenye kariba ya Lucas mwashamba kweli mkawakutanishe na Heche na watoke salama? Lazima apigwe spana. Uchawa na akili havikai pamoja..!!
Manara ni mtaalamu wa cheap propaganda lakini uelewa wake wa siasa ni wa chini sana kwa Heche alikwaa kigingi.
Wamrudishe Madrassa mjinga yule.
Manara alikua anahoji kama kijana wa uvccm maswali yake yalikua yakutetea mamlaka
Manara anabebwa na jina la baba ake tu na albinizimu tofauti na hapo ni pimbi kama pimbi wengine hana hata uwezo wa kujenga hoja
Mheshimiwa gani mjinga vile .Sasa hivi ni Mheshimiwa ujue?😄
Mheshimiwa gani mjinga vile .
Yule anachojua ni kutukana na kudhalilisha watu .
Trudishien mtu wetu aendelee kutupigia stori za majinn.
Wakina mayala ile podcasts yao ya jambo,walikuwa wanawalika wadau wanatema nondo+vyumaTlaatlaah Unamjua Lokole? Naambiwa hapa ndiye level yako kitaifa
Shoga la Abdul kizimkaziheche?
huyu huyu adict wa kubeti ambae alifilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kamari au kuna mwingine?![]()
Robert Leo nikupongeze umeandika mada kwa maneno machache na ujumbe umeeleweka sijui ndo umetumia hizi features mpya za IA.
#justiceforManaraalichofanyiwaniudhalilishaji
Nimeangalia yale mahojiano ya jana , inanipa picha tasnia ya habari ilivyo hoi .
Inanipa picha aina ya wanahabari ambao ndio CCM inawapenda ikishirikiana na mataei yake/vidampa wake kama TEF, JAB , TCRA kuminya habari.
Kwa mahojiano yale unaona Manara anahoji kama kada wa CCM sio kama mwandishi wa habari kitu ambacho CCM wanakipenda hata akija mtu asiye wao basi ahoji kama kada wao.
Imepita miaka mingi sana sijaona mahojiano ya rais na wanahabari kujadili issue mbalimbali katika nchi sababu ni moja tu waandishi wametengenezewa mazingira ya uchawa na kutoweka taaluma zao mbele bali maslahi hata pale yasipohitajika.
Angalia hapa aina ya maswali Ruto aliyokutana nayo akiwa ikulu toka kwa waandishi wa habari baada ya maandamano makubwa ya June 25 mwaka 2024 kupinga muswada wa fedha.
View: https://www.youtube.com/live/CWL60e-4N3I?si=XPR89v6wnme1xSsh
Kwa maswali haya kama ingekua ni Tanzajia basi hao watu kesho kama wasingekuwa wamepotezwa basi wangeandamwa katika biashara zao binafsi au familia.
👊👊👊👊mwenetu wa Makanya!Kabla ya kuandika niliangalia Avatar yako. Nikamuona Sabufa tushoti. Nikasema Leo hii naiandika kwa hisani ya Ringo
👊👊👊👊mwenetu wa Makanya!