Haji Manara kaacha ndara (ndala) mbele ya John Heche

heche?
huyu huyu adict wa kubeti ambae alifilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kamari au kuna mwingine?:pedroP:
Jadili hoja iliyopo, acha kuatack kuondoa credibility ya kinachozungumziwa, btw any evidence ya kufilisika kupitia betting maana isije kuwa kama hoja ya mange eti no 1 ni mkoboaji bila ushahidi! Anyone can throw allegation. But what about proof?
 
lema alimdanganya abeti eti atapata pesa mingi zaidi,
kilichompata sasa :pedroP:

ikabidi arudi kuishi kwa wazazi. eti nae ni mtu wa maana kisiasa pale chadema masalia:pedroP:
 
Back
Top Bottom