nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Hahahaaaa ukiona wanakuja kukusuta we unajifanya umezimia tu.... ngoja na mgiriki nae apange foleni shost... handsamu huyoooooo...Hehehereee....kupangwa foleni na shombeeee shosti...
Mi umbea ndio kipaji japo kusutwa live naogopa...hahahaaa
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!Hahahahaaa...nimecheka kweli....
Nisije nikazimia jumlaaaaa...
Lazima naye aipange!!
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!
usisahau kuweka na duckface shostiiiii utanogajeeeeee....We subiri niende photopoint mlimani city kesho nikapige picha... atablow kwa udenda
Shem naona kaingia mitini, sijui kama atakuweza wakati introduction tu imemshinda:redface::redface::redface::redface::redface:Mwambie ye avumilie tu kupangwa...ruksa ameshaingia kwenye mchakato kilichobaki ni juhudi zake tu.
Poa crash nazikimbia skuhz si kama hazipo nahisi nikizileta ndo ntabwagiwa mineno kama anayopewa huyu aliyetaka kujidedisha, skuhizi naenda baharini basi crash zangu nazisimulia kwenye mchanga, nachora chini weeh hafi zinaisha narudi home swafii ndo mana sku hz hamnioni
usisahau kuweka na duckface shostiiiii utanogajeeeeee....
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!
We umejuaje kama ana stress shem?hahahaaaaaa! Et pumziko nani kasema?! Hapo umenitafutia stress na vidonda vya tumbo.....
Shem mwenzio sijawahi kuwa kipa wala kucheza lede... mpira ameudaka TATIANAfolen mm siwez mm nataka kitu cha singapore..... Nmekwambia usirushe mpira kwa mwenzio huo ni wakwako ww ukumbati
hahahaaaaaa! Et pumziko nani kasema?! Hapo umenitafutia stress na vidonda vya tumbo.....