Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Shoga hamna hata muwekaji picha hapa, na ninatoa muda hadi saa kumi na moja isipowekwa picha yoyote basi ntaweka yangu.
Kurushana roho tu....! Halafu Tayta yuko wapi jamani? kingekuwa kishaeleweka hapa.

Best utaota mvi hapa kwa kungoja picha....
 
Hahahaaa...nimecheka kweli..ili uonekane nawe matawi!!!!

Acha tu afu nikiona kuna watu nasimama karibu na mlango wa gari najifanya naongea na simu
Kama vile ikikata ntafungua mlango watu wakiendelea na bizness zao mi ndukiiii naenda kudandia bodaboda
huyooo mbagala
 
du jamani bd tuu mnacheza nje ya wakati sasa muda ulishaisha kitambo mneongezewa, penalty mmepigiana hola! hamchokiiiii
 
Hehehehehe muone hivyo hivyo na mwandikowake wa kimalaika

ile vocha yangu ya jero naitaka lasivyo ntamwambia umukagame aweke picha.... Sasa chagua moja kuwekwa picha au ujisalimishe mwenyew carifonia guest house chumba namba 5
 
Last edited by a moderator:
hahaaa!!hali ya hewa ikichafuka mniite
nirushe bomu la machozi ,jana nilichelewa aisee!!
 
Acha tu afu nikiona kuna watu nasimama karibu na mlango wa gari najifanya naongea na simu
Kama vile ikikata ntafungua mlango watu wakiendelea na bizness zao mi ndukiiii naenda kudandia bodaboda
huyooo mbagala

Hahaaaa umetishaaaa ndo maana ulikuwa unamsarandia bwanaake shosti mwenye hela ili akununulie walau kibajaji?
 
unapenda kujua si ndio?? Ila uwe na moyo wengne tuna maajabu utakuja kuona vitu ambavyo havipo dunia ya kawaida

Nshaona maajabu kibaooo...moyo wangu mgumu kuliko chuma.
 
Acha tu afu nikiona kuna watu nasimama karibu na mlango wa gari najifanya naongea na simu
Kama vile ikikata ntafungua mlango watu wakiendelea na bizness zao mi ndukiiii naenda kudandia bodaboda
huyooo mbagala

Hahahahaaa.. we mkali nimekukubali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom