Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?

Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...

Daaah!!! Bora mie nipotee tena nisijepata maneno kama haya maana nahisi ntamkata mtu ngwala na hasira zangu za panzi.
 
hahahahah mungu unipe nini tena jf umenipa looh

Kilichobak uombe Mungu akupe gunia la chawa wawepo muda wote mwilini na kitandani ili kila saa ujikune usilale hata dakika ili usipitwe na viroja Kama hivi
 
Kilichobak uombe Mungu akupe gunia la chawa wawepo muda wote mwilini na kitandani ili kila saa ujikune usilale hata dakika ili usipitwe na viroja Kama hivi

tatiana kwa zengwe la jana nilijua picha itawekwa loh leo tena hadi sikukuu za muungano zimwisha nina uzuni
 
Povu zinamtoka shombe lol ......
Nshaona huu upepo hajui tumevaa helmet za kuzuia

Hehehehehehehheheheheheheheheheheehheehhe wacha nifurahi mie mtoto wa kipare og mixer mpembaaa mwambien eve nmemwachia mbeba mizigo wake nipo na wat wa typ yangu stak shoboooo
 
miss crash mambo

Poa crash nazikimbia skuhz si kama hazipo nahisi nikizileta ndo ntabwagiwa mineno kama anayopewa huyu aliyetaka kujidedisha, skuhizi naenda baharini basi crash zangu nazisimulia kwenye mchanga, nachora chini weeh hafi zinaisha narudi home swafii ndo mana sku hz hamnioni
 
Sawa best tulikuwa tunajitahid picha ziwekwe shosti ana Id kibao analazimisha ushoga kwa eve afu anatishia nyau watu wazima
Hapo tunaomba mods asifunge huu Uzi had SAA 7 atuwekee hizo picha alafu afe tukazike population ipungue ....asipoweka picha ataonekana *****

Sahivi saa nane na madakika ushachomeshwa mahindi wewe
kalale ukue
 
Hehehehehehehheheheheheheheheheheehheehhe wacha nifurahi mie mtoto wa kipare og mixer mpembaaa mwambien eve nmemwachia mbeba mizigo wake nipo na wat wa typ yangu stak shoboooo

Mara nyingi watu wenye mashauzi ya hivi wanakuwaga wabovu hadi huruma
 
Hehehehehehehheheheheheheheheheheehheehhe wacha nifurahi mie mtoto wa kipare og mixer mpembaaa mwambien eve nmemwachia mbeba mizigo wake nipo na wat wa typ yangu stak shoboooo

wacha wwee watu wa type yako wakoje mamii tuwaache wabeba mizigo wetu au nije pm
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom