TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
We umejuaje kama ana stress shem?
Yy anaogopa stress sababu ya foleni...mwambie asijali maana mi nitafanya customization kwake tu....
We umejuaje kama ana stress shem?
hahahaaaaaa bingo mgiriki ushindwe wewe tu kumesaaaaaaaa...Yy anaogopa stress sababu ya foleni...mwambie asijali maana mi nitafanya customization kwake tu....
😕😕😕😕😕😕huo ni wako mama jiandae tu kuukumbatia na kuupa joto hahaha
huo ni wako mama jiandae tu kuukumbatia na kuupa joto hahaha
Mwambie ye avumilie tu kupangwa...ruksa ameshaingia kwenye mchakato kilichobaki ni juhudi zake tu.