Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Kafia kwenye kifua cha boy wake usiku kucha, hope kumekucha atafufuka msubilie.....
 
Unataka kuibua vita tena wakat ilitulia si ndio?
 
Heee ilikuwa vita nikajua ashatupia ile kitu inayomuua jerry???

hivi unacheza na kifo?? Nmewahi kumkuta dada mmoja akiwa amejifungia ndan akiwa na sum ya panya lakin anatafakar anywe au asinywe...... Maisha matam japo mafupi sasa ukifikiria unaenda kufukiwa na gema la udongo huku ukiwaacha akina Evelyn Salt, nameless girl wakila raha za dunia hapo lazma ugail
 
Last edited by a moderator:
Umerudi katika normal sense eeenh?? Nisingepata faida ila usiseme vitu ambavyo huwez kuvitekeleza.... m glad umzima

Nlikuwa na strees sana nlivyoingia hum nkazd kuchngnyikiwa bt yalishapita ya jana!nikipanga tna utajulishwa
 
Hahahaaa, huwezi amini nimekupenda bure.
Sasa tuongee deal mwaya, ukitak kujiua tena unipe namba za huyo habibty ili ukifa nikutunzie.
 
Sasa stress zako ukataka kutustress na sie? Kuwa na hekima bwana, ukija hapa sema nna stress one two. Sio unaanza kutukana watu hapa. Na usiseme uongo, manake utakustress zaidi (id mbili ni uongo na uoga wa maisha)

hivi unadhani hata mimi nikifa jf nzima italia? Najua nina marafiki wachache watatoa mchozi, na wengine wachache watasikitika for five minutes na kusahau. Infact ukijiangalia watakaokulilia (kama bado hujawachosha na drama zako) ni nduguzo wa damu.

Nlikuwa na strees sana nlivyoingia hum nkazd kuchngnyikiwa bt yalishapita ya jana!nikipanga tna utajulishwa
 
Mjini fursa kibaao. Afu anaonekana matawi huyu, muonyeshe lile la tzs 1.3 million ndo litamfaa. Alipe kabisa ila siku ya kujiua ashikilie risiti mkononi manake nna hakika hana last will huyu
Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?

Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...
 
Sasa stress zako ukataka kutustress na sie? Kuwa na hekima bwana, ukija hapa sema nna stress one two. Sio unaanza kutukana watu hapa. Na usiseme uongo, manake utakustress zaidi (id mbili ni uongo na uoga wa maisha)

hivi unadhani hata mimi nikifa jf nzima italia? Najua nina marafiki wachache watatoa mchozi, na wengine wachache watasikitika for five minutes na kusahau. Infact ukijiangalia watakaokulilia (kama bado hujawachosha na drama zako) ni nduguzo wa damu.

ujumbe mzur na mahusus kwa wachache wasiojitambua.... Nmekupenda bure
 
Sasa stress zako ukataka kutustress na sie? Kuwa na hekima bwana, ukija hapa sema nna stress one two. Sio unaanza kutukana watu hapa. Na usiseme uongo, manake utakustress zaidi (id mbili ni uongo na uoga wa maisha)

hivi unadhani hata mimi nikifa jf nzima italia? Najua nina marafiki wachache watatoa mchozi, na wengine wachache watasikitika for five minutes na kusahau. Infact ukijiangalia watakaokulilia (kama bado hujawachosha na drama zako) ni nduguzo wa damu.

Ckukutukana nilizinguana na eve na tunajuana usiingilie ishu usizozijua na zisizokuhusu mkuuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom