Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

usingesoma ungemuelewa mtoa mada kwa kuwa umelishwa ujinga huwez kumuelewa.. Broo nauli laki 2 wamepanda watu sita alafu nauli laki wamepanda watu sitini.. Kwa akili yako ya shulen nan anapata pesa ndefu... Bro juz kat nimepanda air tz toka songea to dar naul laki mbili unusu ndan tulikuwa nane seet zipo 170 mi nimekaa ya 83 imajin anachoongelea mtoa mada
 
Unajua kwann naul ziko juu 1 wakubwa weng wana share kwenye mabasi so yatakosa abilia watakosa pesa...anna makinda>superfeo mizengo pinda>summry samia>NUNU NK KWA HALI HY USITEGEMEE NAULI KUSHUKA
It make since.....maana FastJet walifanya bei kitonga na Kampumi haikuteteleka
 
Ukitaka cha gharama ndugu mparee sharti ugharamike ndege usafiri wa gharama.
 
Msilazimishe wote kupanda ndege.
Mabasi ya usiku akapande nani.
Kama huwezi kulipia nauli ya sasa acha kulialia tafuta level yako.
 
Mleta mada ana hoja nzito. Mimi mwenyewe enzi zile za Fastjet nauli ilikuwa Tsh 70,000/= Dar - Arusha, lakini ilibidi nimpigie simu mjomba wangu kumwomba ushauri kama sio matumizi mabaya ya pesa. Mjomba akaniambia sio mbaya wewe panda kwasababu hata Kilimanjaro Bus luxury ilikuwa Tsh 36,000/=. Siku 1 kabla ya safari nikabadili mawazo na kujiambia ndege ni anasa bora nipande KLM Bus Luxury. Asubuhi ya siku ya safari nikiwa kwenye bodaboda nakata kona Mabibo mwisho mida ya asbh kuitafuta Shekilango nikaona hata KLM ni anasa nitapanda Lim Connection kwa Tsh 32000/=. Nilivyoingia Ubungo nikafuta wazo la Lim na kuona pia ni anasa. Yaani hadi nakuja kutulia nikajikuta niko kwenye Saibaba ya mwisho nimelipa nauli Tsh 21,000/= baada ya mabishano makali na wakatisha tiketi. Arusha nilifika kesho yake alfajiri.
 
FastJet ndo walikuwa wanaweza hivyo, awamu ya 5 ikauliwa makusudi ili kupisha ufufuo wa ATCL
 
Unajua kwann naul ziko juu 1 wakubwa weng wana share kwenye mabasi so yatakosa abilia watakosa pesa...anna makinda>superfeo mizengo pinda>summry samia>NUNU NK KWA HALI HY USITEGEMEE NAULI KUSHUKA
Kampuni ya summry mbona haiko siku nyingi tu!!
 
Duuh ulitisha!
 
Wew tafsiri ya kufanya kazi kwako ni kubeba zege ndo uamini hao watu wote hawafanyi kazi ...ngoja nikupe mfano mdogo kuna watu wapo arusha lakini mishe zao dar zinaenda kama kawaida just kwakutumia sumu janja ......
 
Noted.
 
Kama huna ela usilalamike mkuu wengine laki kwao kama buku sisi tuendelee kupanda bus na train tu
 
Madereva wanaendesha mchana na kila siku gari wanaingiza kwenye korongo usiku mkuu unawajua madereva wa Tanzania kweli wewe nadhani shida ipo kwenye madereva wengi hawajitambui ndio tatizo.
 
Kwakua ATCL wako humu ni vizuri walete maoni yao juu ya hili pendekezo lako,mimi naliona km lina tija.
 
Itakuwa ni ndege ambayo itakuwa busy kupita kiasi, na siamini kama watapata hasara za ya faida ya kupindukia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…