Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

Kuna mtu anaitwa John Momose (msukuma)Cheyo.........alikuwa anatumia neno "mapesa" na hata tukampa jina Bwana Mapesa...........mbali na hiyo mi nakumbuka wasukuma wengi hutumia neno "mahela"....."mihela"........."mipesa"........."mapesa"........kusema vijisenti.....eti anawakilisha wasukuma!!!!! ah ah.....inabidi aombe msamaha wasukuma

....Yes ajiuzulu na Ubunge pia....i support that.....kwa faida ya chama chake
 
Nyani umesema ujashangazwa na usemi wa vijisenti kwasababu dingi yako huwa anatumia the same word regardless of the amount of money!Na mimi nikasema issue ya Chenge na dingi yako kutumia usemi mmoja ni issue ambazo haziwezi kulinganishwa kwasababu Chenge yeye alikuwa akiulizwa swali la msingi kuhusu tuhuma za wizi wa vijisenti hivyo..where as hatujui bado kama dingi yako naye alipolitumia neno hilo la vijisenti alikuwa akijibu tuhuma za wizi ama ilikuwa kwenye maongezi mengine ya kawaida!Pls be specific.

Sitakuwa specific...maana msije mkanishambulia na mimi kwa kuwa mtoto wa fisadi
 
Huyu mtu hawezi kujiuzulu ubunge wake.. never... anataka akisafiri aingie VIP jamani... ala! the man is a multi millionaire.. mbaya zadi he's the chair of CCM ethics committee.. niujinga.. CCM na Mwenyekiti wao anazindi kuonyesha udhaifu mkubwa sana for not acting approriately... CCM is in ICU inakufa... the thing is they have it in their minds that watarule tanzania for ever.. lakini at this rate in the mext 20 years bila reform... CCM will be out.
 
Kuna mtu anaitwa John Momose (msukuma)Cheyo.........alikuwa anatumia neno "mapesa" na hata tukampa jina Bwana Mapesa...........mbali na hiyo mi nakumbuka wasukuma wengi hutumia neno "mahela"....."mihela"........."mipesa"........."mapesa"........kusema vijisenti.....eti anawakilisha wasukuma!!!!! ah ah.....inabidi aombe msamaha wasukuma

....Yes ajiuzulu na Ubunge pia....i support that.....kwa faida ya chama chake

naomba mwongozo wa sheria za BUNGE na katiba yetu inasema nini juu ya hili??
 
Hata hivyo, hadi hivi sasa CCM haijalipa gharama yoyote ya viongozi wake kuhusishwa na ufisadi na hakuna wakati hadi hivi sasa ambao wao kama CCM wamechukua hatua za viongozi wa serikali waliofanya vitendo vya ufisadi wakiwa ni wanachama wake.

usisahau MMKJ kuna kitu kinaitwa Political Capital, au goodwill. tuhuma hizi hasa kwa kuwa zimefululiza, tena wakati wananchi wengi wanahangaika na janga la umaskini na ugumu wa maisha, inakuwa ngumu sana kuuza stori ya CCM nambari wani hata huko kijijini. kinachotakiwa ni kupigilia misumari katika eneo hili la muonekano mbele ya umma. ndio hiki pekee kinachoweza kumfanya Kikwete atambe "kelele hazimnyimi mwenye nyumba usingizi" inaonekana mwenye nyumba keshaanza kukesha

Ni kwa sababu hiyo basi naamini kujiuzulu kwa Chenge toka serikalini hakutoshi bali lazima kufuatiwe na kujiuzulu toka Ubunge. Kwanini?

a. Kiasi cha fedha anachodaiwa kukutwa nacho kingeweza kuleta mabadiliko makubwa kwa watu wa Jimbo lake lakini aliwaficha wapiga kura wake.
Hii habari ya kuiba mahali na kupeleka jimboni kwako nadhani tuipigie mstari kwa kina CD Msuya, isiendelee zaidi ya hapo.

kuhusu kujiuzulu ubunge, huyu jamaa anaweza kucheza kete ileile ya mwanzo aliposema "Mwulize President anajua kwa nini kanichagua" basi akigawa peremende huko usukumani, atakuambia waulize jimboni kwangu walikonichagua. nadhani katiba mpya inabidi itoe mwanya kwa wapiga kura kuwawajibisha wabunge na wengine wanaochaguliwa, isiwe lazima kusubiri mpaka mwisho wa term yake. wananchi wenye kuona haja ya kumwajibisha, watoe maoni yao katika forum inayoeleweka, na wawe na uhuru wa kuwahamasisha wengine
 
Ubunge ajiuzulu na Aondoke CCM

Ningetaka kusema mambo ya kuondoka CCM ningeweza kufanya hivyo. Hilo CCM wanaweza kufanya wanalotaka kuhusu uanachama, wanaweza kumpa Umakamu Mwenyekiti wa Tatu wa CCM. Lakini kama muwakilishi he is done.
 
Vijisent vyetu aviludishe.
Ila kwa suala la ubunge am sure apo CCM lazima watakomaa si unajua wananchi wana hasira.
 
Kama kila mbunge atajuizulu kwa kashfa hakuna atakayebaki !!1
 
Pamoja na kwamba sijamalizia kusoma ujumbe huu naona nimefarijika kiasi fulani hila naona haitoshi inatakiwa achukuliwe hatua mara moja.
 
mzee Chenge sasa kaanza kujua nguvu ya umma ni zaidi kuliko sheria zilizomjaa kisogoni mwake,Tatizo hawa wazee hawajui kuwa sisi kizazi hiki hatutaki mzaa wanadhani wataendelea kutuburuza kama kale, Na kama haitoshi tukiona Rais anaendelea kuwatetea hawa mafisadi tutakwenda pale Feli tukalale pale hadi kieleweke,sisi tumechoka
 
OGAH. Kuna mtu anaitwa John Momose (msukuma)Cheyo.........alikuwa anatumia neno "mapesa" na hata tukampa jina Bwana Mapesa...........mbali na hiyo mi nakumbuka wasukuma wengi hutumia neno "mahela"....."mihela"........."mipesa"........."mapesa"........kusema vijisenti.....eti anawakilisha wasukuma!!!!! ah ah.....inabidi aombe msamaha wasukuma

....Yes ajiuzulu na Ubunge pia....i support that.....kwa faida ya chama chake

MWANAKIJIJI asante sana kwa mada yako chokozi, ina mameno mazito yenye busara. Kwangu mimi nakubaliana nawe kuwa baada ya kujiuzuru UWAZIRI, aende zake kwa kuachia UBUNGE na vyeo lukuki alivyo navyo kwenye CCM, na akienda kwa wapiga kura wake Bariadi wakampe wakati mgumu ajue Tanzania ya leo si ya mwaka 1960. Ninatamani sana kumuhimiza mgosi MAKAMBA kusoma hiyo mada ili aweze kukishauri chama chake kichukue hatua madhubuti kujisafisha mbele ya Watanzania na hatimaye kiondokane na ufisadi.

Asante OGAH kwa uchambuzi wako kuhusu huyu CHENGE kukejeli WASUKUMA inasikitisha sana. Licha ya kwamba Kiswahili kimeanzia na kinaongewa sana Pwani, si kweli kwamba Wasukuma hawajui gramar ya Kiswahili kiasi hicho ati waanze kubwabwaja VIJISETI badala ya senti, VIJITOTO badala ya watoto, VIJIMAMBO badala ya mambo. Huyu mtu alipoongea VIJISENTI alikuwa anajua anaongea nini kwani alipoulizwa kwa nini bilioni anaiita VIJISENTI alijibu na kusema KILA MTU ANA VIWANGO VYAKE. Siju kama ni kweli alikuwa amesha-panick tayari au ni ile jeuri ya pesa / ubilionare ndiyo ilimpa nguvu ya kutamka hayo. Ninavyowafahamu Wasukuma ni kuwa wakiongea kitu kwa msisitizo wanatanguliza MA na hivyo angesema MASENTI tungemuelewa. Nawasilisha
 
Mimi sishangai kabisa kwa yeye kutumia hilo neno la "vijisenti". Mdingi wangu mwenyewe huwaga anatumia hilo neno akimaanisha hela irregardless of the amount. So I'm willing to give him a pass on it....

tena kwa kupigilia,huwa wanasema tuhela..yaani kumaanisha vijisenti,muuulize hata Bwana Mapesa anajua Msemo huu wa watu wa Bariadi.

Pili,
Mwanakiji,ile ni bao lingine la kisigino,la kwamnza mlikubali kupigwa na hili mmeingia mkenge,the same as they did to lowassa,i said last week..haya ni mapambano ya kuvunja mtandao yanaendelea.

Chenge ni Fisadi,ila angetakiwa ajieleze kwanza alizipataje pesa hizo kabla ya kujiuzuru u-waziri,na sasa hamtaweza kumbana tena zaidi ya kufunguliwa kesi mahakamani.na huko atawashinda coz issue yake haina ushahidi wa kutosha

Nimesikitishwa sana sababu hata ile Motion yake ambayo inegtolewa Bungeni haitatoka coz sio waziri tena.
 
Kujiuzulu ni heshma mno kwa AC, he should have been sacked.
 
Kujiuzulu Wadhifa wa kuteuliwa au kuchaguliwa sio suala rahisi viongozi wetu hawa. Kunahitaji 'pressure' kubwa kama hizi za JF. Ikiwa wapigakura wa Bariadi watatoa shinikizo, inaweza kuchangia. Lakini wakimuona mhalifu huyu ni shujaa wao, basi yatakuwa yaleyale...I hope hawa wa Bariadi hawatatuaibisha kama wale wa Monduli.
 
tena kwa kupigilia,huwa wanasema tuhela..yaani kumaanisha vijisenti,muuulize hata Bwana Mapesa anajua Msemo huu wa watu wa Bariadi.

Pili,
Mwanakiji,ile ni bao lingine la kisigino,la kwamnza mlikubali kupigwa na hili mmeingia mkenge,the same as they did to lowassa,i said last week..haya ni mapambano ya kuvunja mtandao yanaendelea.

Chenge ni Fisadi,ila angetakiwa ajieleze kwanza alizipataje pesa hizo kabla ya kujiuzuru u-waziri,na sasa hamtaweza kumbana tena zaidi ya kufunguliwa kesi mahakamani.na huko atawashinda coz issue yake haina ushahidi wa kutosha

Nimesikitishwa sana sababu hata ile Motion yake ambayo inegtolewa Bungeni haitatoka coz sio waziri tena.

Waambie hao maana mimi hawaniamini....
 
Tusipojua kuitafuta haki yetu wenyewe hakuna wa kutusemea...tatanzania tubadilike sasa, tunapochagua viongozi tusichague majina ya vyama wanavyotoka bali watu wenyewe kwa sifa zao. chama cha mafisadi kimetuchosha, angalieni maisha yanavyopanda kila kukicha, lakini JK na team yake kimya kama hawaoni vile...iko kazi kuutokomeza umasikini TZ. Mungu ibariki Tanzania, waangamize mafisadi wote.
 
Kumbe aende wapi wakati huko ndiko makao makuu ya wenye matendo hayo. Hivi kuna watu wanaamini kwamba ufisadi wa Chenge ndio umejulikana leo na kuna watu wanaamini kwamba JK alikuwa hamjui Chenge vizuri wakati anamteua? Kwa nini hatujiulizi ilikuwaje JK akamteua Chenge kwenye baraza lake la mawaziri na akamteua tena? Tujiulize tena kwa nini Chenge ni mjumbe wa Kamati ya Maadili ya CCM? Kikubwa zaidi, tujiulize kwa nini Chenge anapendwa sana na wana CCM wenzake hadi akaongoza kwenye kura za ujumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya chama chao? Where am I going: we are still making the same mistake to think that ufisadi is only a problem of few crooks in CCM like Chenge. To me, ufisadi is simply a CCM phenomenon. To hate ufisadi but love CCM is simply wanting to eat the cake and have it at the same time and is a display of hypocrisy of the highest order, which is increasingly becoming part of us watanzania. We have only two choices: to hate ufisadi and its root causes and mobilise all necessary forces to wipe it out or hate ufisadi but continue patting its breeding ground (CCM)and continue whining!
 
tatizo ni la CCM ya leo, tumeingiliwa na Mafia ambao kazi yao ni Ufisadi tu, nothing else. Ufisadi ulikuwepo before but not to these levels whereby these guys feel untouchable. It is a gang of select people that needs to be weeded out. kusema CCM nzima ni wafisadi isnt true
 
Back
Top Bottom