Katabalo
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 115
- 14
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?
Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.
FIFA wamezidi upendeleo!
Maradona mwenyewe hajakubaliana na tuzo ya messi, kasrma fifa wanafanya biashara ziad, cuz messi hajaonekana, il kumpandsha tena wakampa hyo tuzo,
ngoja niweke link