Kwa haraka haraka niwaambie kwamba messi ndo mchezaji aliye dribble sana mpira mara nyingi kuliko mchezaji yoyote w.cup, messi ndo alichungwa sana na kuwekewa mipango mingi kabla ya mechi karibu zote , timu kama uholanzi walimuwekea beki 6 (kocha wao ndo alisema hili). Germany walimzunguka sana kila sehem , belgium ndo usisema , na hiki ndo kiliwapeleka argentina final baada ya tim nyingi kuogopa kuwashambulia na kukaa wanamchunga messi , ndo maana netheland walishindwa kufunga wakalazimishwa kwenda penalt wakatolewa (kwa woga hio huo wa kudefend kisa messi), bado siku hiyo messi aka lead wenzake kwa penalt nzuri ya kwanza ambayo huwa inawa frustrate opponents .. bado kapiga goli nne .. kama uliangalia final utagundua pasi zake zingetumiwa vizuri argetmina wangeshinda in 90 min .. messi is the best , numbers never lie . Robben ana mambo mengi mara a dive mara afanyenje hawez kuwa bora , ubora una vitu vingi !