Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,043
- 358
kk huyu jamaa ni mchawi wa ball acha chuki zako toward messi
Wenye akili tunajua vizuri kuwa kwa hiyo Tuzo nayo ni fitna tu kumpa huyo Messi hana chochote zaidi kuna wachezaji wengi wazuri ila siyo huyo anayeweka kwasababu ya Fifa.
Ushndwe..sio kla anaempinga mess n Man U..
Teh, Si ndio maana akasema anti mess. Au thredi imekua ngumu kusomwa. Dalili za kuvurugWa......
fIfa na akina blatter wapo obssessed na messi sana..this is too much..ameunderperform lakini wana mbeba tu..mtu hajaweza kufunga kwenye gemu ngumu hata moja
Nashukuru Dua yangu imepokelewa ya German kuwa Bingwa maana sifa imeenda kwa Timu mzima,wangebeba Argentina sifa angepewa Messi kama anacheza pekee
Nashukuru Dua yangu imepokelewa ya German kuwa Bingwa maana sifa imeenda kwa Timu mzima,wangebeba Argentina sifa angepewa Messi kama anacheza pekee
Sasa fifa ndo wamemuon yeye na ndo wamempa.ur complaints cnt change any thing wabongo.hata ktk raman ya kombe hampo.lawama tyuuuuu
Hivi andunje kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, roben au hata huyo James Rodrigez ......... Kama kuibeba timu Di maria ndio alikua anaibeba timu.
FIFA wamezidi upendeleo!
sema wewe ni vigezo gani vimetumika...hata iweje hawezi kufikia level za akina pele na maradona...eti mess ni zaidi ya maradona hahahha kombe la dunia hawezi kulishika mpaka mwisho wa uhai wake....best player for me is muller.
ukiwa una comment kidogo uwe unaona aibu bhana kuandika non sense ya namna hii.Kama haya yangekuwa mashindano ya diving sawa, kwa mpira naam, Robben hastahili kabisa.
kwa jinsi ambavyo umejibu unaonesha kabisa humpendi messi kwa hiyo hata hivyo vigezo wakikutajia still utaendelea kudhani hivyo unavyodhani na hata messi akifanya zuri gani kwako litakuwa baya kwa sababu humpendi.sema wewe ni vigezo gani vimetumika...hata iweje hawezi kufikia level za akina pele na maradona...eti mess ni zaidi ya maradona hahahha kombe la dunia hawezi kulishika mpaka mwisho wa uhai wake....best player for me is muller.
nikusaidie tu, baadhi ya vigezo vilivyotumika, ni idadi ya magoli ya kufunga, na idadi ya pasi alizotoa kusaidia goli kufunguwa, idadi ya pasi sahihi alizotoa, n.k
Hebu waambie yani sie tunajua mpira wa maandishi kama hivi.Watu wanalalamika mara messi kawa hivi mara vile lakini mwambie aende uwanjani mhhhh???
Di maria aliumia wakiwa robo wameenda mpaka fainali angeumia Mess wasingefika huko. Kuna vigezo vingi wanavyotumia vikiwemo magoli aliyofunga, assist alizotoa, pass accuracy na nidhamu uwanjani. Ruben mpaka aache kujiangusha ndo anaweza kufikiriwa.