Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

Tatzo mleta mada hujui hata lolote unaloongea basi messi hakufaa kupewa tunzo toa sababu, haya akina muller walifaaa kupewa toa sababu pia? Kwa taarifa yako messi kawa man of the match mara nne mfululizo kati ya mechi saba alizocheza na pia kapiga basi hai nyingi kuliko hao unaowasema hapa!!

kumbe ndio vigezo!" basi wangenipa mimi hiyo 2nzo mana kwenye ndondo huku mtaani nafanya zaidi ya hivyo ..........
 
Tatzo mleta mada hujui hata lolote unaloongea basi messi hakufaa kupewa tunzo toa sababu, haya akina muller walifaaa kupewa toa sababu pia? Kwa taarifa yako messi kawa man of the match mara nne mfululizo kati ya mechi saba alizocheza na pia kapiga basi hai nyingi kuliko hao unaowasema hapa!!

Mueleweshe huyo hater ,anadhani hapa ni bongo mtu anapewa tuzo huku anajua 100%,Messi will always be Messi the best
 
ingekua nimbebaji timu wasingeingia final kw matuta. jana kwnye final messi alikua beki. labda wangempa beki bora w final.

Unasumbuliwa na chuki dhidi ya Messi, vigezo vilivyotumika kuchagua kwa asilimia kubwa anavyo yeye. Wewe endelea na chuki zako tu.
 
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?

Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!

tatizo kuwa unaangalia mpira wakati umebet .you will be having bias fro beginning to the end og the match
 
Tatizo letu wa tz ndo hilo tuu...kulalama pasipo kuweka solution..mleta mada ungetusaidia kuweka madhaifu ya messi...then unaweka na mazuri ya wale unaona wanafaa...
 
Kwa vigezo hivi Messi ALISTAHILI sana kuwa mchezaji bora wa mashindano. Mfungaji bora aweza kuwa mwingine ila mchezaji bora ni Messi.

Niwakumbushe pia, kuna Golden ball, Golden Boot, na Golden Boots

Golden boot imekwenda kwa James Rodriguez
 
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?

Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!

Wanaomlinganisha Messi na Maradona na watetezi wa Messi kuhusu Golden Ball asiyostahili, hili hapa neno la Diego Armando Maradona kuhusu Messi na tuzo yake.

[h=1]Maradona: Messi didn't deserve Golden Ball[/h]
 
Sehemu yeyote messi akichukua tuzo watu wanahoji, CR7 akichukua wanasema amestahili.

Kwanini??
 
Wanaomlinganisha Messi na Maradona na watetezi wa Messi kuhusu Golden Ball asiyostahili, hili hapa neno la Diego Armando Maradona kuhusu Messi na tuzo yake.

[h=1]Maradon
a: Messi didn't deserve Golden Ball
[/h]

Swadaktaaaa ............

tuzo ya Messi.
Supper sport wameiponda
sky sport wameiponda
cnn wameiponda
bbc sport wameiponda
aljazeera wameiponda
dw wameiponda
uero sport wameiponda
 
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?

Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!

Kabla hujatoa tamko kama hilo hadharani ongelea vigezo vilivyotumika na uonyeshe jinsi ambavyo aliyekuwa na vigezo hivyo kumshinda Messi alidhulumiwa. Kwa taarifa ni kuwa vigezo ni pamoja na kufunga magoli, kutoa pasi za mwisho kupata goli, kutokupoteza pasi na kucheza vizuri kwa ujumla. Na vigezo hivi vinatumika KILA MECHI ndio maana kila mechi kuna "man of the match". Sasa ndugu yangu, hao kina Robben, Muller, au Rodrigues walikuwa "man of the match" mara ngapi? Yeye Messi alikuwa man of the match mara 4 katika fainali hizo. Ni mchezaji yupi aliyemzidi Messi kuwa "man of the match"? Kama hakuna nadhani HAKUNA HOJA ya kuhoji ushindi wa Messi. Kwa wale wenye kumbukumbu wakati fainali kama hizi zilipofanyika Korea na Japan aliyeshinda uchezaji bora alikuwa GOLIKIPA Oliver Khan wa Germany. This was IN ADDITION to being the best goalkeeper. Hakufunga goli hata moja na nchi yake haikuchukua ubingwa waliochukua ubingwa walikuwa Brazil. Tena mbaya zaidi ile mechi ya finali Khan alifanya uzembe na kusababisha goli la kwanza lakini kwa vile overall alicheza vizuri katika mashindano bado tuzo yake aliipata. Hakupata Ronaldo de Lima wala Rivaldo ambao walikuwa na magoli mengi na nchi yao ikatwaa kombe. Wala hakuwa Ronaldinho ambaye wakati ule alikuwa star kwenye timu ya Brazil. Wengine wanadai CNN, BBC, etc wameponda tuzo ya Messi. Sio misimamo ya hizo TV station bali ni baadhi ya watu waliotoa maoni yao kwenye hizo Tv stations. Ni kama hapa JF , mtu hawezi kusema kuwa JF wameponda tuzo ya Messi kwa vile wewe umeiponda.
 
Top Scorer? -No Top Assist? -No Most Passes? -No Most Chances Created? -No Win World Cup? -No Goal in Final? -No Goal in Knock out stage? -No Goal against big teams? -No Performance in Final Match? -Flop Performance in Semi Final match? -Flop Performance in Quarterfinal Match? -Flop Still won the Adidas Golden Ball!! Why????
 
Back
Top Bottom