FIFA best award: Argentina yakomba tuzo lukuki. Messi mchezaji bora

Randy orton

JF-Expert Member
Apr 29, 2019
1,338
3,541
Hatimaye Leo ndio siku ya utoaji Tuzo za mpira wa miguu chini ya usimamizi wa shirikisho la soka duniani (FIFA).

Goalkeeper Bora.

Emily Martinez wa Argentina amechukua Tuzo hii kwa mchango wake mkubwa timu ya Taifa.

Huyu mwamba alikuwa bingwa wa kudaka penati kwa madoido na aliweza kuokoa hatari nyingi ikiwemo ile maruufu ya dakika ya '123' kwenye fainali ya kombe la Dunia.

Kikosi Bora

Courtois, Hakimi, Cancelo, Van Dijik, Casemiro , Modric, De bruyne, Messi, Halaand, Mbappe, Benzema

20230228_002730.jpg

Mchezaji Bora

Lionel Messi

Wote tunajua mchango wake mkubwa kwenye kikosi Cha Argentina kilichochukua ubingwa.

Kama Captain, Messi aliiongoza Argentina kubeba kombe hilo kama kiongozi na kama mchezaji tegemezi.

Messi atakumbukwa kwa rekodi ya kuchukua Tuzo ya Man of the Match mfululizo mpaka hatua ya fainali alipoitwaa mbele ya Mbappe ambaye alifunga Hattrick katika fainali hiyo.

Fifa.jpg

#######

Messi ashinda Tuzo ya FIFA, Ronaldo apotezea kupinga kura

Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa FIFA 2022 baada ya kuiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia 2022, nafasi ya pili ikienda kwa Kylian Mbappe na Kareem Benzema.

Kwa mujibu wa Taratibu za FIFA sehemu ya wanaotakiwa kupinga kura kuchagua washindi wa tuzo hizo ni nahodha na kocha wa timu ya Taifa, ambapo Cristiano Ronaldo licha ya kuwa ndiye nahodha wa Ureno, hakupiga kura badala yake majukumu hayo akayafanya Pepe.

Sababu za Ronaldo kutoshiriki hazijawekwa wazi.

Kura za Pepe zimeenda kwa Mbappe, Luka Modric na Benzema, wakati Messi amewapigia kura Neymar, Mbappe na Benzema.
--------
 
Haaland anafanya nn hapo kwenye Kikosi Bora
 
Hivi vikosi kwanini wanashindwa kubalance wachezaji ata ukiambiwa ukipange kwa mifumo hakikubali kabisa.

Kwa hivyo kilivyowekwa inamana Messi na Mbape ni wanakua kama wing backs toka lini ikapangwa hivyo.

Kikosi kina Central defender mmoja tu kinakosa sifa ya kukipanga kimifumo sahihi kwanini kusiwe na uwiano wa wachezaji na namba zao hua napata tabu sana kulielewa hili
 
Hatimaye Leo ndio siku ya utoaji Tuzo za mpira wa miguu chini ya usimamizi wa shirikisho la soka duniani (FIFA).

Goalkeeper Bora.

Emily Martinez wa Argentina amechukua Tuzo hii kwa mchango wake mkubwa timu ya Taifa.

Huyu mwamba alikuwa bingwa wa kudaka penati kwa madoido na aliweza kuokoa hatari nyingi ikiwemo ile maruufu ya dakika ya '123' kwenye fainali ya kombe la Dunia.

Kikosi Bora

Courtois, Hakimi, Cancelo, Van Dijik, Casemiro , Modric, De bruyne, Messi, Halaand, Mbappe, Benzema

Mchezaji Bora

Lionel Messi

Wote tunajua mchango wake mkubwa kwenye kikosi Cha Argentina kilichochukua ubingwa.

Kama Captain, Messi aliiongoza Argentina kubeba kombe hilo kama kiongozi na kama mchezaji tegemezi.

Messi atakumbukwa kwa rekodi ya kuchukua Tuzo ya Man of the Match mfululizo mpaka hatua ya fainali alipoitwaa mbele ya Mbappe ambaye alifunga Hattrick katika fainali hiyo.

#######

Messi ashinda Tuzo ya FIFA, Ronaldo apotezea kupinga kura

Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa FIFA 2022 baada ya kuiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia 2022, nafasi ya pili ikienda kwa Kylian Mbappe na Kareem Benzema.

Kwa mujibu wa Taratibu za FIFA sehemu ya wanaotakiwa kupinga kura kuchagua washindi wa tuzo hizo ni nahodha na kocha wa timu ya Taifa, ambapo Cristiano Ronaldo licha ya kuwa ndiye nahodha wa Ureno, hakupiga kura badala yake majukumu hayo akayafanya Pepe.

Sababu za Ronaldo kutoshiriki hazijawekwa wazi.

Kura za Pepe zimeenda kwa Mbappe, Luka Modric na Benzema, wakati Messi amewapigia kura Neymar, Mbappe na Benzema.
--------
Bila Bocco au Mkude list fake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom