mbaya zaidi, tuna madigirii afu na wanaume ndo tushawakaba wameingia kingi wametuwowa. sasa huna digirii, babako hana kampuni ya mabasi, una papuchi tu na weupe wa korogo? lazma uwe na #jotohasira hehehe
.........hehehe, hebu #maSistahFromAnotherMother Oooo chill nawewe, kha?
Unapoteza miguvu mingi kujibu article kwa kireeefu ....
Haka kamchezo kanatumia Basic Fizikia kwenye gravity na acceleration, Baiolojia via hormones,body temp, chemical reactions etc na Hisabati za hapa na pale....bhaaaas
End results na kunogewa ni akili ya mtu tu.
ahahahahha
HAPA DEGREE
PALE MUME
KULE WATOTO
KUSHOTO PER DIEM
KULIA NIGHT ALLOWANCES
KATI THE HOUSE WITH OUR TITLE DEEDS
JUU DOUBLE DIGITS SALARIES
eehehhehehehe do we need more than these
ahahahha nimesahau mitongozo ya wenye degree
hapo double digits unaongelea yale masifuri meeengi?
hahaha mitongozo ya kiingereza. acha turinge banaa kha!
sio kikwazo best. ila ukiwa na digirii nyingi ina-narrow down alternatives za wanaume wanaokutongoza. they will need confidence of some kind. kama hajasoma, hayuko intelligent (manake akili na kusoma ni vitu viwili tofauti, huu ujinga wa Da Sophy hata angesoma usingemtoka, huwezi jisifia kuwekwa hawara) na hana pesa anajijua kabisaa maji yana kina haya nikae mbali. kuwa na madigirii ni kama kuajiri kwa kutumia recruitment agency, wanajichujaa cream ndo inajitokeza kwikwikwi. msirushe mawe natania banaa
mbaya zaidi, tuna madigirii afu na wanaume ndo tushawakaba wameingia kingi wametuwowa. sasa huna digirii, babako hana kampuni ya mabasi, una papuchi tu na weupe wa korogo? lazma uwe na #jotohasira hehehe
Ku-narrow down candidates sio ishu
Ishu ni mwanamke kuhukumiwa sana simply ana digrii, sielewi kwa nini? Kama wanawake wenye digrii wanawatesa hivi, kwa nini wanawafuata? Is it a crime kwa mwanamke kusoma?
Nataka kufanya maamuzi ya kuachana nazo, ila siwezi ku-undo hizi zilizopo
Afu pafyumu usisahau
Mshukuru Mungu kwa yote,huna degree shukuru pia. unaelekea kubaya ni dalili ya kurukwa na akili jichunguze. kama unaihitaji nenda nawewe kavikwe sio kuwasakama wenye degree,pole sana bahati mbaya huwezi kunyang'anya degree zao. Mungu kawajalia degree waache walinge nazo nizakwao, na kwa jinsi unavyowashambulia inaonyesha unaumia sana wenzio kuwa na degree.Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.
Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?
Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
sasa na wewe nae! kwani madigirii mateka kalalamika hayapendi? mateka kaona madigirii ndo maana kakuoa. anajua wewe ni manager, director, supervisor, mlinzi, chef, babysitter, mke, mhasibu, mchungaji you name it! Anapata full package. kama akiitiwa papuchi tu si umuache akaonje? phd unapata lini mie nna nguo mpya hata pa kuivaa sina, madigirii yananikosesha shughuli za kufundwa sijui nini hehehe
Pole sana, hujiamini mtoto wa kiume, waachie wenye uwezo wa ku handle wenye degree, inahitaji uwe mwanaume la kaa mbali nao, bora umejitambua level yako wenye certificate tena uweke na mkataba ukioa hamna kujiendeleza. na wanao wa kike wataishia certificate?Cna mpango wakuoa mwenye degree,wanavyojiona wanajua kla kitu,ctaki kuumiza kchwa kazn nirud nyumban tena niumizwe kchwa na mke,NO,mwenye certificate tu inatosha.
^^
Kuna haja ya jukwaa la Mipasho.
^^
Soko la kuwekwa vimada? sishangai hata binti zako ukiwafunza hivyo, kuchukuliwa na waume za watu ni soko nalo? kwa nini usiwe na wakwako? maneno huumba dada angalia wanao wasije rithi hiyo tabia. waache kusoma wawe soko kwa waume za watu.Wenye usomi wao watakuja juu oooh!!! hawa ni wkasababu ya shule lakni ukweli unabaki pale pale mwanamke aliyesoma ni majanga kwenye ndoa. Wanawaburuza wanaume utafikiri mikokoteni ndio maana mangumbaru tunasoko zaidi kwa waume zenu wasomi wenzenu.
Huyu dada katoka mbali, kazaa na mume wa mtu,anadai kajengewa nyumba . Mume ana mke mwenye madegree ndo anampasha huyo mke mwenye madegree, kamuandama mwanamke mwenzie. Lengo la da sophy ni mipasho na kushawishi watu shule haina maana,na si kuwajenga. hana hujumbe mwingine zaidi ya huo.Nafikiri huyu dada kuna mtu mwenye digree kamdharau...............kuna kitu kiko ndani ya ujumbe kinaitaji utulie zaidi umuelewe. Pia nafikiri amejaribu kuwatahadharisha wadada wenye digirii wasibweteke kuwa waume/boyfriend zao hawawezi kutoka/kucheat na watu ambao hawajasoma/wasio na digirii...........ana point ila watu wamepanic kwa sababu kuna kaukweli flani.
Umenena shoga n' nakusapoti saaana tu,,,,,,,,,, me hata uwe na phd mumeo akija kwangu funga na kuomba!!!!!!!!!!!!!!!! maana nitampatia mahaba na utundu wangu huu haaaaaa!!!!!!!! lazima akuone kinyago na hicho ki digrii.
Umeonaeee! Wana point hawa bidada.