HakikaVitu halisi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] na nani mkuu.ka
kama nakufananisha hivi😀😀😀😀
[emoji51] [emoji51] [emoji51]hapo usiku utazalisha gas kupita ya Mtwara
Hapo kweli ni nguvu tu maanake kumejaa starch tupu....anaenda kujaza choo tu!Vitu natural! Hapo nguvu aina zote Lazima zipatikane!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] HatariWashitakiwe kwa kukusudia kuchafua hali ya hewa!
Nimemis sana hii mambo
Kweli bhageshiMlo wa kisukuma huo, hapo ni saa 7 mchana baada ya shughuli za shamba na kuchunga
Hii avatar yako ya sasa nimeielewa sanaFull mchemsho hadi raha
In Wine there is Truth!
In vino veritasIn Wine there is Truth!
Ahenaho amasonga, mandege ne nombho! Mpaga bhiiiiii, kolya mpaga wi nonelaKweli bhageshi
HahahaaaaInamaana atajinyea mkuu?