HAKUNA HAJA YA KUFANYIANA UBAYA.

HAKUNA HAJA YA KUFANYIANA UBAYA.

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
91
Reaction score
271
Sote Tutakufa tuu, Vyote tutaviacha tuu, Hakuna Haja Ya Kufanyiana Ubaya...

Wanawake Hakuna Haja ya kuwaua Wanaume Zenu, eti kisa Mbaki na Mali, Kumbuka Nanyi Mtakufa tuu, Mtaviacha tuuu....

Vyote Ni Ubatili, Hakuna Haja ya Kufanyiana Ubaya....!!!

Kashai.
 
Kufa haipaswi kuwa sababu ya msingi ya kuwashawishi watu wasifanye ubaya.
 
Sote Tutakufa tuu, Vyote tutaviacha tuu, Hakuna Haja Ya Kufanyiana Ubaya...

Wanawake Hakuna Haja ya kuwaua Wanaume Zenu, eti kisa Mbaki na Mali, Kumbuka Nanyi Mtakufa tuu, Mtaviacha tuuu....

Vyote Ni Ubatili, Hakuna Haja ya Kufanyiana Ubaya....!!!

Kashai.
Ukiacha ubaya mwenzako anakufanyia, iliyopo ni jino kwa jino. Watu wanachukuwa nyota za watu wewe unabaki kusema "Yesu Maria na Joseph " chukuwa na wewe ili ngoma iwe droo.
 
Sote Tutakufa tuu, Vyote tutaviacha tuu, Hakuna Haja Ya Kufanyiana Ubaya...

Wanawake Hakuna Haja ya kuwaua Wanaume Zenu, eti kisa Mbaki na Mali, Kumbuka Nanyi Mtakufa tuu, Mtaviacha tuuu....

Vyote Ni Ubatili, Hakuna Haja ya Kufanyiana Ubaya....!!!

Kashai.

Sababu sote tutakufa ndo maana wengine tunataka tu enjoy tukiwa hai.
 
Back
Top Bottom