donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Mie nimefikiria nguvu za kiume tu.Hii nimeielewa
Kabisa mkuuDaa hapo usukimani kabisa
Vitu halisiSafi sana
Msuba unahusika hapoNaunga mkono hoja kama ifuatavyo....View attachment 864141
Naaaaam, mambo ya mkoani hayo. Dar wanapiga chips yai na wali wanapimiwa ktk kifuniko cha thermos, chai wanakunywa na kashata mbili.
Inamaana atajinyea mkuu?Baada ya huo mlo huo lazima nzi wakufuate.
Hahahahahaa mwanaume ukiwa unapakua chakula inabidi wakushitue kwamba kuna wengine bado awajala maana.....
KabisaVitu natural! Hapo nguvu aina zote Lazima zipatikane!
Inamaana atajinyea mkuu?