Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,048
- 4,333
Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi!
Miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati ikiwapo mradi wa SGR, JKNHP, ujenzi wa Meri katika maziwa yetu yote, ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima, mageuzi makubwa na upanuzi wa bandari zetu zote, daraja la busisi linalopitisha mazao na madini mengi kutoka kanda ya ziwa, kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini, ukuta wa Mererrani, uhamasishaji wa kujengwa viwanda, miundombinu mingi ya kimkakati ya kulipunguzia foleni jiji la Dar ikiwapo Flyover na Barabara ya njia nane kutoka Ubungo hadi kibaha na hata Chalinze, kuwabana mafisadi, kuwabana wazembe maofisini, kupiga vita rushwa kwa vitendo, kuwaambukiza watanzania katika kufanya kazi na kujituma, ilitosha kuamwamini kwamba, nchi itasonga!
Ndiyo, ilikuwa ni miradi mingi kiasi kwamba, kiongozi yeyote asiyekuwa jasiri na mwenye kusimamia kwa dhati matumizi ya kodi zetu, asingeliweza kufanya hivyo, kwa sababu wengi wa watakaoendelea kuferi maisha na kuwa masikini, ni wale waoga wenye kuona hatari tu katika safari ya mipango yao na kisha kusitisha,
Mtu jasiri hukubaliana na changamoto zozote zitakazo jitokeza mbele ya safari yake na jwamba, atapambana na atashinda, na si mwingine, huyo alikuwa JPM tu na ni vigumu kumpata mtu kama huyu tena
Kulichopo kwa sasa, ni sawa na kuukubali ule umasikini wetu tulikuwa tumeuzoea miaka ile ya wala bata,
Kwa sasa ukiniuliza, kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa CCM, na inaonekana, NI KUMKANDIA UBAYA NA MADHAMBI YOTE YA CCM, HAYAYI JPM, leo ngano inauzwa 40000 kutoka 28000??
Hayo yanayosemwa ya uchaguzi kuharibiwa, ni maneno ambayo pengine yanawafaa vijana waliozaliwa 2000 hivi, nasikia hawana kumbukumbu kwa sababu ya lishe!
Nani asiyejua, mpaka sasa hakuna hata uchaguzi mmoja uliohusisha vyama vingi ambao CCM hawakucheza rafu?