Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=majanga]#majanga [/URL]
Makanisa yameisha?
Mchungaji mmoja hapa mjini/kanisani kwetu yamemkuta, amekuwa anapenda sana kusafiri yaani sana. Safari zake mara nyingi ni za mikoani, mara Mwanza mara Moshi mara Arusha na anaomba mchango mwingi sana yaani tunamfungashia pesa ya kutosha.
Kumbe huwa tu akifika anakokwenda ana watoto design mbalimba mweee! Akianza tu safari baby leo Moshi unipokee, akifika anafikia hotel ya maana basi inakuwa ni full starehe na mpenzi wake. Sasa juzi alikuwa Mwanza. Kuna mshirika mmoja huwa ni mtu wa masuala ya media mtrainishaji, sasa si akawa ameroute kwenda Mwanza, bahati isyo na bahati akafikia hotel ile aliyo mchungaji wake, hehehehehehe yuko mapokezi kijana wawatu anapewa maelekezo mawili matatu na receptionist pastor kaja kwa kasiiiii ya ajabuuuu na bonge la mtoto full kisss bila kinga hahahahahahah.
Mwa mwa mwa mwa baby subiri nichukue funguo, 'dada (wa mapokezi) nipe funguo paaaaaaaa jicho likagonga kwa mshirika wake [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=majanga]#majanga [/URL] unajua nini kilifuatia????
Alizinduka akiwa hospitalini presha imemkamataaaa hahahhahahahahaha, uchungaji saivi amesitopishwa baada ya kijana kumwaga data kwa wazee wa kanisa.