hahahaaa,njia ya kujua simu ya kichina

hahahaaa,njia ya kujua simu ya kichina

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
1,Betri inajaa baada ya
dakika tatu,

2. Ina TV, tochi, mswaki,
kiberiti cha sigara,

3. Ndege ikipita, simu
inaandika 1 MISSED CALL

4. Ukiwa karibu na jiko,
inaandika CHARGER
CONNECTED na

5. Ukipita karibu na
mchina, inaonyesha NEW
DEVICE FOUND....!


 
hahahaaaa,,kweli duniani kuna majambozzz
 
Nasikia hata yakipita malori makubwa kama ya Strabag inaandika CHARGER CONNECTED
 
Jamani mbavu zangu....hebu hii ipeleke kule kwenye jamvi husika
 
Ukipita karibu na mwanamke mwenye mimba mtoto anacheza tumboni!
 
duh! umetoa kichekesho kikali hadi mods badala ya kuweka star, wakakupiga ban
 
repeated lakini kizuri kina haki ya kujirudia....hongera mkuu
 
Back
Top Bottom