Hahaha nitajie movie

Hahaha nitajie movie

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Nitajie movie ambayo ulivyo angalia ulicheka kinouma mimi ni ile movie ya hangover wale washikaji walo lewa wakaiba tiger wa mike tyson wakifikiri ni mbwa na pia akajing'oa jino
 
Pink panther

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mkuu tafuta The Dictator.! Hangover haikanyagi kwa hyo kitu
 
Tiger cage,In the line of duty,jaguar,platphoom na vijay phath...mbona ziko kibao.!
 
i want to harvest you ya Sam Loko Ife, full burudani
 
Poa ngoja nitaanza na ya The dictator
pink panther na mr ibu uliyetaja ya majuto umenikumbusha siku nilikuwa natoka arusha ndani ya dar express wameweka movie ya majuto na jb inaitwa naenda mjini kumtafuta mwanangu ebwana nilicheka hadi machozi duu du hapana chezea majuto wewe hata kidogo
 
Nigerian movie called mr ibuu and nothing goes for nothing hey my frnd nilicheka sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna kitu inaitwa THE KID ya Charlie Chaplin na LITTLE MAN utapenda
 
Back
Top Bottom