Hahaha nitajie movie

Hahaha nitajie movie

BORAT jamani. Ile movie ilinichekesha, machozi yalinitoka na mbavu zikaniuma.
 
Rango ! Don't Tango with Rango !
Haswa pale chura akifukuzwa na mwewe !
 
Back from New York...Sharobaro, King majuto, kitale etc (to me it was funny all the way)
 
Baby day out ni noma, hasa pale kale katoto kanapounguza mali za jamaa na lijamaa kwa kuogopa polisi likawa linaekti kucheka
 
Inamaana za bongo hazcheksh naona wa2 mnajfanya waholywood&tolywood......?
 
Nitajie movie ambayo ulivyo angalia ulicheka kinouma mimi ni ile movie ya hangover wale washikaji walo lewa wakaiba tiger wa mike tyson wakifikiri ni mbwa na pia akajing'oa jino

Muvi za Mboto,3 ------,mouse hunt na pussy in boots
 
baby police nigerian movi ibbu &akki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!igweeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom