Hafikishwi kileleni afanyeje?

Hafikishwi kileleni afanyeje?

panda basi nenda kilimanjaro kapande mlima mpaka kileleni mambo ya chumbani usituletee hapa
 
Bhasi nisamehe kama nimekukwaza mkuu. Samahani
Hukunikwaza ila nimekusaidia ili siku nyingine uwe unasoma maudhui kamili ya comment kabla hujacomment ili usije kuaibishwa siku nyingine....mkuu...
 
Siku ile wanawake saba watakuja kwa mume mmoja nao watamwambia"TUTAKULA CHAKULA CHETU NA TUTAVAA MAVAZI YETU ILA TU TUITWE WAKE ZAKO ILI KUTUONDOLEA AIBU"So wanawake wao wanachotaka ni kuitwa tu mke wa fulani alafu wakishaitwa ndo sasa wanaanza mara oo hanifikishi.Yaani inaudhi,manake utakuta mtu kama huyu amekfanya mapenzi na huyo mwanaume mara kibao kabla ya kuoana lkn akawa anamezea leo kaona ameshaolewa anaanza kupiga mayowe
 
Wakati mwenzio anaelekea kileleni wewe unakua wapi? Sio mwenzio yuko busy kupanda mlima wewe umezubaa unawaza wa zamani. Tuliza akili mtoto wa kike.
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana akishafanya kimoja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

Endelea kumvumilia kwakua wewe mwenyewe unatambua nini tatizo na dawa kanywa likin dolo
 
Nakushauri ufanye yafuatayo kwa mumeo

1. Hakikisha kabla hajarudi kazini umejipamba vizuri na unanukia.
2. Muandalia vyakula ambavyo vitachelewesha kupata bao. Kama vile supu ya pweza na ni vizuri uiandae wewe mwenyewe. Usichanganye na kitu chochote.
3. Asitumie vyakula vya sukari nyingi. Atumie kahawa wakati wa jioni hasa ile kahawa chungu.
4. Usidanganyike kuwa kupigwa bao nyingi ndio kufika kileleni, bao moja tu kama mumeo akiweza kubalance game utafika kileleleni.
5. Muandalie maji ya moto aoge kwani maji ya moto yanasaidia kuufanya uume usimame vizuri.
6. Na wewe uwe kipa mzuri, usizubahe golini,
7. Kama mumeo hajatailiwa, basi hujue ni tatizo atawahi kupiga bao yeye siku zote na hatoweza kubalance game hivyo atailiwe.
8. KAMA MUMEO AMETAILIWA NA AMESHINDWA KUBALANCE GAME KUWA WIN WIN, JITAHIDI WEWE UBALANCE HIYO GAME
9. USIWAZE KABISA MCHEPUKO
 
Mtoa mada umedhihirisha upuuzi na umalaya wako. Tulia kwenye ndoa acha upumbavu utakuja kujuta
 
aiseee babayangu wasungu wanasema test befor u use we huku fanya ivyo, mbege yenyewe huwa 2naitest kana na kali ama ya ovyo
 
Hapo ndipo mnaponichosha mimi........wewe ile formula ya shake well before use uliiacha wapi......?.......umefanikiwa kunichosha sana.......

usichoke...wengine kutengeneza mazingira ya ndoa.....wanaletaga zile za hakuna ku do mpaka ndoa......vilevile inawezekana jamaa kati ya wale wanaume tofautitofauti aliowasema yeye peke yake ndo alikuwa muoaji......n.k
 
You can do one or all of the following:
1.badilisheni pattern yenu ya kudo, sio kila siku utaratibu huo huo tuuu...usiku...dinner...bafuni...chumbani...kuvua nguo...kitandani....pengine kifo cha mende huku taa imezimwa, Noo! be creative and adventurous...sometimes muite jikoni akifika mpe mambo bila ye kutarajia, huku unaendelea kuroast nyama huku mambo yanaendelea!! tuone kama atalala juu ya meza ya jiko!!!

2. ukihisi anakaribia kudownload mchomoe mwambie mnachange style na myeyushe daka kama moja nzima kabla hujamzamisha tena.. abdallah kichwa waz akipata ubaridi kidogo ana mazoea ya kuahirisha kutema mambo.

3. Mki-do hakikisha fan inawaka na possibly inampuliza sehemu za ndoa, effect yake ni kuwa akizama anakuta joto, akitoka anapulizwa na ubaridi, bao litachelewa tu na in the middle of ye kuchelewa wewe utakojoa.

akimaliza bao la kwanza wewe ndo unawajibika kumfanya apate hamu tena..zijue zones zake muhimu na uzishughulikie..myonye hapa, mpapase pale, mfondle vile, ukimpatia whanger yake itanyanyuka na mtaendelea kama kawaida..

karibu kwa practical training
 
Akishindwa ku apply hayo ajilaumu mwenyewe
 
mmmmhhhhhhh we ni me or ke?
 
does it matter much? who do u think is in a better position kumpa mwanamke practical training? me or ke? jibu ndo mimi sasa

fine,nimeshakutambua!!lakn kuna ke wanajua sana kuzidi wanaume!anyway it doesnt matter........
 
fine,nimeshakutambua!!lakn kuna ke wanajua sana kuzidi wanaume!anyway it doesnt matter........
u are very right ndugu, wapo ke wanaojua zaidi....u know I had a similar problem, na alinisaidia she wangu....from kutomridhisha to yeye kupata mishindo mitatu mi nikiwa na mmoja na yeye kuanza kuomba po! without any dawa wala ushenz wowote wenye after-effects
 
Ushauli Mbadilishie Vyakula, Kamsagie Dona, Uji Wa Ulezi, Mboga Za Majani, Pia Apendelee Sana Matunda, Alafu Kubwa Zaidi Awe Anafanya Mazoezi Ya Gym Japo Mara Tatu Kwa Wiki, Nakuhakikishia Utaomba Poo,
 
hukujipanga kabisa, ulikubalije kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Na ukichepuka ukatana na inayokamu sana lakini ikakupa ngoma hapo vipi....?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom