nilitaka mwambia hvhv....kabla hawajafunga ndoa hawakugegedana ama alipenda pesa akaona atavumilia tu
umekurupuka kucomment mkuu nimetoa reference hata dawa yenyewe siifahamu ila huyo mkuu niliyomuweka hapo juu ndio alitoa thread ya kuisifia kama ungenavigate kwenye hiyo link nafikiri ungeona..........na usingecomment ulichokicomment hapa..
naitwa rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.
Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana akishafanya kimoja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.
Ushauri tafadhali.
Hapo ndipo mnaponichosha mimi........wewe ile formula ya shake well before use uliiacha wapi......?.......umefanikiwa kunichosha sana.......
Njoo nkuoe mm
Ungekuwa ni wewe,ungekubali mkeo aolewe na mtu mwingine kisa wewe una mapungufu,eti liwe suluhisho?