Hafikishwi kileleni afanyeje?

Hafikishwi kileleni afanyeje?

Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

Chepuka ukamtafute anaye kufikisha kileleni...na huyo asipo kufikisha mtafute atakaye kufikisha.....
 
Kama yeye akifika kitandani au popote kwenye mechi hajishughulishi, anatega tu antena akisubiri kufikishwa basi atasubiri sana. Kileleni unafika mwenyewe kwa kusaidiwa na mwenzi wako. Haufikishwi!!!!
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

Mvumilie tu, atapona hajapata mganga mzuri. Kama vipi tumia viagra. But jaribu kumtengenezea juice ya Ginger au Garlic awe anatumia kama juice yake, baada ya muda mambo yatabadilika tu. Lkn pia, ngono imekuwa kama ndo ndio ndoa, lkn mi naona si sahihi ktk hili. Hujafa hujaumbika, kuna watu watakupotosha hapa hadi uvunje ndoa uende na michepuko. Tulia dada, mwamini Mungu na uombe pia. Ila kama uko sawa na wale wa ambiance pale, ruksa
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.
Kitu nilichogundua ni mwanzoni alikuwa anafanya vema sana sana,ila mbele ya safari amebadilika,anaishia moja tuuu,si lazima mtu uambiwe but nimegundua hilo kutokana na maongezi yako,sasa je ana maumivu ya muda mrefu sehemu yoyote?
ajitahidi kula vyakula vya asili na kufanya mazoezi kila siku kwa mwezi 1,utakuja uniambie hapa hapa...
 
POle sana,
Ndio chaguo lako hilo. Perfect him.
 
kwani wakati wa uchumba hukulijua hilo tatizo?.Jamani wasichana wenzangu usikimbilie ndoa ilimradi na wewe uonekane umeolewa.halafu unaoneka huyo mumeo haukumpenda toka moyoni ndiyo maana hata kumvumilia unashindwa.

nenda kachepuke.
 
You can do one or all of the following:
1.badilisheni pattern yenu ya kudo, sio kila siku utaratibu huo huo tuuu...usiku...dinner...bafuni...chumbani...kuvua nguo...kitandani....pengine kifo cha mende huku taa imezimwa, Noo! be creative and adventurous...sometimes muite jikoni akifika mpe mambo bila ye kutarajia, huku unaendelea kuroast nyama huku mambo yanaendelea!! tuone kama atalala juu ya meza ya jiko!!!

2. ukihisi anakaribia kudownload mchomoe mwambie mnachange style na myeyushe daka kama moja nzima kabla hujamzamisha tena.. abdallah kichwa waz akipata ubaridi kidogo ana mazoea ya kuahirisha kutema mambo.

3. Mki-do hakikisha fan inawaka na possibly inampuliza sehemu za ndoa, effect yake ni kuwa akizama anakuta joto, akitoka anapulizwa na ubaridi, bao litachelewa tu na in the middle of ye kuchelewa wewe utakojoa.

akimaliza bao la kwanza wewe ndo unawajibika kumfanya apate hamu tena..zijue zones zake muhimu na uzishughulikie..myonye hapa, mpapase pale, mfondle vile, ukimpatia whanger yake itanyanyuka na mtaendelea kama kawaida..

karibu kwa practical training

inaelekea wewe ni mwalimu mzuri sana.nikikaribia kuolewa naomba unifundishe zaidi.:clap2::clap2::clap2:
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

Ndio maana siku zote huwa nasema kuwa na waume au wake wengi kabla ya ndoa ni chanzo cha michepuko.Kama wote mngeoana na mkawa bikira basi nadhani mngejifunza pamoja na mkafikishana na hata kama asingekufikisha vizuri basi nadhani ungeelewa ndivyo ilivyo.Kwa umri wako wa miaka 24 huoni aibu kabisa kusema umetembea na wanaume tofauti yaani wengi, kukutana na fupi, nene, embamba, iliyojikunja ndio chanzo cha wewe kutofikishwa.Mimi nilijitunza kwa muda mrefu lakini mke niliepata kimsingi haniridhishi lakini kwa kuwa amenizalia watoto tena wanaofanana na mimi basi nimeamua kutulizana kwa sababu ya watoto wangu.Tulizana mama Ukimwi upo.Usishangae wahuni wakaanza kukutongoza.Ni pm nikuelekeze vyakula na jinsi ya kufanya ili mumeo awe vizuri.Nashindwa kufunguka vilivyo maana hili si jukwaa la mambo ya kikubwa.Bao moja linatosha kumfanya mwanamke akojoe zaidi ya mara tatu ilimradi tu mwanaume ajue jinsi ya kujizuia ili asifike mapema.Mabao mengi hayana tija kama mhusika amwaga kabla ke hajafika.
 
Capt Nemo ameeleza vizuri ni kufanyia kazi..kuchepuka siyo kuzuri Rose hiyo option idelete..ili uweze kufika juhudi zako pia zinahitajika,hautakiwi kumuachia mwenzio..magwaride yanatofautiana kama umezoea JWTZ itabidi uzoee JKT Shoga...mapenzi ubunifu be tactiful si mpaka aingize ndo ufike..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom