Hadithi ya Lwanda Magere katika kipindi cha Sinto sahau kinachorushwa na Redio Free Africa

Redio free africa ina matatizo sana kuanzia kwenye menejiment mpaka watumishi, program pamoja na maudhui ya vipindi vyao.Kuna baadhi ya watangazaji ukiwasikia unapata haibu mwenyewe,sijui hii inasababishwa na ukweli kuwa hawalipwi mishahara kama ipasavyo au ni cheap labor?Kuna vipindi havivutii kabisa lakini kibaya zaidi siku hizi hata wanapojiunga na dw,bbc na voa huwa matangazo yanakatwa na kuweka matangazo ya wizara ya afya, sasa najiuliza je ni kweli kwamba wizara ya afya au wamekuwa wadhamini wa matangazo ya dw, bbc na voa?
 
Wanabodi.

Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.

Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.

Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.

Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.

Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.

Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.

Nawasilisha.
Dahaa.hiv bado watu wanao muda wa kusikiliza hii redio? vipi ipo on line?
tupeni linki tuisikilize hiyo hadith
 
Mim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut

Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana

Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
 
Mkuu acha masikhara.
 
Lwanda magere mzee wa bakora za kimkakati.Aliyejitoa kumtumikia shetani kwa makubaliano ya pesa na damu.Shetani anakupa pesa yeye nampa damu.
Kasababisha ajali nyingi Sana nchini.Ikiwemo ya lori la mafuta morogoro,bus la mwanza coach vs j4 eneo la makutano musoma,bus la sabuni vs gari ya mapadri,bus la simba mtoto Tanga,ajali ya coaster mlima wa Igawilo Mbeya,ajali ya coaster na roli kibiti.
Kamtumkia Sana shetani akampa utajiri magari na majumba baada ya kumaliza wa kutoa kafara shetani kamnyanganya utajiri wote aliompa leo ni kibarua saidia fundi maramba mawili kinyerezi.
Shetani hana huruma wala shukrani kabisa utampa ndugu zako akishawamaliza na pesa zake anachukua.
 
Magere "anatuzengua" tu ,mi naona kama anatupigisha story za vijiweni.
 
Wanabodi.

Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.

Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.

Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.

Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.

Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.

Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.

Nawasilisha.
Ipo yote kuanzia episode ya kwanza hadi ya mwisho 38 youtube kwa Davistar mara.
 
Hiko kipindi nilikuwa nakipenda sana ila mambo ya kusubiri kila weekend yalinichosha nikaachana nayo.

Wangekuwa wanarekodi kipindi kizima wanarusha kama podcast au youtube.

Watapata wasikilizaji wengi na hela itaingia ya kutosha.
Nenda Davistar mata unapata clip zote
 
Mim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut

Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana

Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
Pole sana maisha ni maamuzi.Ila pesa za shetani ni za mkopo huwa haziendi bure at the end ni lzm akutoe kafara muhusika.
 
Uzi wake wa JF aliuachia nusu tu akapotea , alaf jamaa inaonekana kaamua kuvujisha siri baada ya kunyang'anywa vitendea kazi Sasa kaamua kuvunisha siri ili awakomoe wale washirikina wenzake
Na wanawatumikisha hatari usio ni matajiri ukadhani wanafuraha.DMX,2pac, Michael Jackson walipewa umaarufu na shetani kupitia freemason baada ya kuuza nafsi zao kwa shetani walipochoka kutumikishwa wakataka kumrudia Mungu huku wakitoa Siri za shetani but wakafa kabla ya kutimiza ndoto zao.
DMX alitaka kufungua kanisa Ili amuhubiri Kristo ndo hivyo tena.
Shetani atakupa pesa at the end ni lzm akuuwe.Kanumba aliambiwa achague yeye au mama yake akaona bora aende yeye.
Yafaa nini kumiliki yote ya mashaka, kwann usitafute utajiri wa halali ufurahi na familia yako.
Kuliko masharti ya ajabu mara sijui utoe mama,baba, mtoto wako msukule kisha KILA mwezi umlawiti Ili pesa zijae uwaringie watu mtaani eti una mabus, malori,maghorofa hali una huzuni,au umue mama yako mzazi kisha uziondoe nyeti zake zikachomwe kupata mafuta ya upako wauziwe wachungaji washirikina kuvutia waumini.Nini hii sasa.
Thus mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa freemason.
 
mkuu DMX gani unaemzungumzia? Huyu jamaa aliefariki kwa overdosage ya madawa ya kulevya?.....DMX madawa yamemchakaza sana na mwisho wake haujawa mzuri....
 
Mim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut

Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana

Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
Duh

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom