Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Unakipaji kikubwa Sana Cha uandishi tangu nimejiunga jf 2014 ni wewe tu ndio nimesoma story yako na ukafika mwisho tena simulizi ya kweli bila blah blah ...

Fanyia kazi huo uandishi usiache kipawa kipotee.
Kuna story za Kitoabu pia ni nzuri hajaishia njiani
 
shukran sana dogo kwa ujasiri wa kuimaliza hii stori na kuwa msafi kabisa,

umeelezea umeacha wizi, utapeli, ukabaji, ugomvi, uzinzi. nk

but nakukumbusha tuh usije ukaacha na CHAPUTA ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nitakuw mpweke asee
 
Mkuu holy holm mimi ni mgeni hapa Musoma. Stori yako imekuwa muongozo wangu kutalii hapa. Naweza kusema nimefika 100% ya maeneo ya Musoma uliyoyataja. Nimebakiza kumuona Qilah pekee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Nimeweka kambi hapa Mlima Mkendo.

20210213_100450.jpg


20210213_110654.jpg


20210213_100237.jpg
 
Dah wana bahati sana hawa,ndio maana wanakua free kumove kutoka sehemu moja kwenda nyingine,hata maisha yakiwapiga wanarudi tu home.

Yote ya yote,jamaa anajua kusimulia na kupangilia matukio. Hongera sana Holly
Me nili lelewa na wazaz ambao walikua busy na kusaka maisha, hawakua care sana na sisi.Kama mdogo wangu wa tano na wa sita ni kama hawajalelewa na Mama.Alikua busy sana kusafir na biashara zake.

Asante sana kwa kufuatilia story yangu Mkuu
 
shukran sana dogo kwa ujasiri wa kuimaliza hii stori na kuwa msafi kabisa,

umeelezea umeacha wizi, utapeli, ukabaji, ugomvi, uzinzi. nk

but nakukumbusha tuh usije ukaacha na CHAPUTA ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nitakuw mpweke asee
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na rafiki angu mmoja kashaoa lakin anakwambia kutoka chaputa lbda akatwe mikono na miguu yote.na me bado ni mwanachama kimtindo mtindo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu ulikuwa una mfahamu jamaa mmoja anaitwa Fredrick chilly kisaina Sasa hivi ni marehemu
 
Hatimaye nimemaliza kusoma huu uzi ,m n mwenyeji wa musoma pia nayakumbuka matukio ya jamaica na mbio za vijiti kuteka watu na kuchukua mali zao
 
Kufuta kwa ubaya gani kusema unaowajua huenda ni wazee? Mi nimeishi nao ndo maana nakwambia hivyo..when it comes kwenye imani yao they are good ila haimaanishi hawafanyi mengine..they are just like everybody else. Halafu sijaelewa hapo mwishoni umenichimba biti ama niaje mzee au huangalii hata mtu kajiunga lini jf
Hata mimi naishi nao Upareni, I know them in and out
 
Back
Top Bottom