Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Nimecheka mabishoo walivoingia cha kike na kukutana na watot wa mbwa mwitu wakapotezwa vibaya sana aijulikan waliingilia wapi walichukuklia poa poa tu upanga uka wa kosa kosa
Hahahaaa we uliona wapi unaenda kufumaniwa eti unapigiwa simu na dem unaemfuata kumfumania hadi anakuja kukupokea

Ndo matokeo yake kibao kikageuka akataka kifirw@ yeye akaanza kulia lia halaf watu wanampotezea hadi mvuvi anachangia kuwa apigwe tu

Na yeye ndo akasaini karatasi ya kufumaniwa na fidia laki 2 juu na maumivu😅😅😅😅
 
😂😂 labda me ndo cjui tofaut ya jambazi na mwizi....BTW bado miaka 4 nifike 30 uyank na uaga
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
 
Acha unoko jomba, mtu anakusimulia unaanza hadi kumfuatilia, huo ni uchawi, mind yo business, mnawafanya watu waogope hata kushea simulizi zao
 
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
🤣🤣🤣 hapana Mkuu Mwisenge nili sali zamani kidogo na sina ushirika hapo......japo ndo nilikua na ishi mtaa huo zamani
 
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
wewe ni AMUK TU, acha ujinga tunafatilia story unaleta AMUKU HAPA
 
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
Kingine Mkuu utakua umenielewa vby me ninatoa ushuhuda kwenu kuwa nilikua mtu fulani na matukio niliyofanya nyuma, bado story inaendelea subir uone inaishaje kama bado ni mwizi or ni mtu mwema.
 
Uzi wako ndio unafikisha jalada polisi.ukiona hivo unatafuta la kutafuta JF sio kila mtu kumfungukia
 
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
ila wabongo bwana,
Okay usisahau kunitafuta ukihitaji shahidi nipo
 
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
katika maandazi nyanya wewe ni namba moja mtu anatoa ushuhuda wake wewe unaleta udada kwenye story kaanze na wale wanaotoa shuhuda za kuua na kutoa mimba kanisani acha umbea broo uache tabia za kimama
 
Back
Top Bottom