Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.

Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.

Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
Wewe masikini kitu kama hukijui funga kopo lako. Mwanza miaka ya 2006/7 yalizuka Makundi ya kishenzi ya kihalifu. Kubwa lao lilikuwa linaitwa MANYILIZU, waliyokuwa wanayafanya hawa washenzi sikia hivyo hivyo. Mwanza kulikera, kulistaajabisha ila aliyekuja kuiokoa ni Kamanda Steven Zelothe akaumaliza ushenzi ule kwa kuwashirikisha wananchi. Kuna dogo mmoja ni mdogo wangu pia, nilisoma na dada yake shule ya msingi na tuliishi mtaa mmoja aliwahi kumkata hasimu wake mguu akaondoka nao begani unavuja damu.
 
Jamaani mimi hapa ninatoa ushuhuda wangu jinsi nilivyokua kipindi cha nyuma, nilifanya makosa nakiri ndio nilifanya, ila watu washaanza kuni judge as if me nimewaambia bado ni mwizi,

Nitoe rai kwenu tuwe wavumilivu tu subir story iishe ndo uni judge vizuri.

Inaendelea

Tabia yangu ya kuiba ilikua inaendelea niliendelea kuiba nguo kama kawa mpk huyo jamaa alianza kustuka kuwa nguo zake zinapotea sana.

Kuna siku moja jamaa alileta begi flani hivi lilikua na nguo mbali mbali za kuuzwa, hizo nguo zilikua amemuagizia mchumba wake kwa ajili ya kuziuza ( kwa mujibu wake alivyoniambia )...basi kuna siku niliingia kutafuta chochote kama kawaida yangu ila siku hyo niliingia na bro wangu ( mtoto wa bamkubwa ).... jamaa huyu alikua hana ustarabu kabisa nilijuta kuingia nae.

Jamaa vitu alikua ana vivuruga balaa vingine anavitupa tupa yaani nilichoka, alivyokosa alivyokua anataka aliamua kuchukua Vitasa vya mlango ni vipya, me nilifungua lile begi la nguo nikachukua vinguo vya kike viwili vya kumpa Manzi angu....tulivyo maliza ilibid nianze kupanga vitu vilivyo vurugwa .

Jamaa alijua kuwa kaibiwa aliniita akanambia me nikaruka futi mia....Jamaa aliamua kumleta pale home binti mmoja hivi ni ndugu yake awe ana muangalizia mji.

Niliona mambo ni mabaya kwa ujio wa huyo binti nilichukia ila sikutaka kuonesha chuki yangu,huo ndo ulikua ni mwanzo wa anguko langu.maana huyo binti alikua anakaza kinoma.Ilibidi nianzishe mazoea nae ya kinafki.na kweli tulizoena nae mpk kuna siku moja nili sex nae ( na alivyokua bonge )...licha ya kumla bado alikua ni kikwazo kwangu yaan kutoka kwake ilikua ni kidogo sana.

Nilipanga nitaibaje asee...kuna siku aliingia king alinitext kuwa niko wap nikamwambia niko town akanambia njoo na chips basi....nikasema poa na kweli nikamletea chips akadai ana nyege hatare nilimgonga siku ( kwenye gheto langu ) wakat huo dogo aliingia chumban kwa jamaa akachukua hela na nguo.

Kuna siku nimeenda Shirati na kwaya tulialikwa kutoa huduma ya uimbaji, safari ilikua ni ya kwenda na kurudi, nilivyokua Shirati kwenye huduma dogo alinipigia simu kuniambia kuwa jamaa kaiba nguo zangu ( nilifua nguo ijumaa usiku, jumamos alfajir niliamka nikazianika nje )....sasa kumbe yule jamaa alichukua hizo nguo.Nilichukia mpk ibada ilikua haipandi kabisa natamani tuwai kuondoka.

Saa mbili usiku tulikua tumesharud kutoka shirati nilifika home nikavua sare yangu, dogo akanipa mkasa mzima nikachukua kisu nikamfuata chumbani kwake,alikua anaona tv pamoja na yule demu ( ndugu yake )...nilifika nikaanzisha moto kwa huyo jamaa nikidai anipe nguo zangu nilimkaba huku nimekitoa kisu kumwelekezea usoni, yule demu ( ndugu yake ) alipiga yowe majirani wakaja kuamua, nilishikwa kutolewa nje yule jamaa akafunga mlango, barozi aliitwa ndo jamaa akatoka lkn alikua kakaa mbali na mimi.

Alidai hizo nguo ni zake na ameshazisafirisha kwenda Butiama ( kwao na Mzee wake ) ila kama na dai ni zangu basi ataagiza ziletwe ili kuondoa utata...nilikubali na ikapangwa siku za hizo nguo kuja.

Nilijua kuumbuka kwangu kuna karibia niliwaza nitafanyaje au nikimbie Musoma...ila niliamua kujikaza kukabir hilo tatizo lililo mbele yangu.

Siku ya tukio ilifika jamaa siku hyo hakwenda kazini siku hyo nilikua na hofu lakin sikua na jinsi...nilimwambia dogo achelewe kutoka shule siku hyo.nikachukua kisu nikakiweka chini ya godoro ili muda ukifika niende nacho kwa ajili ya lolote litakalo tokea.

Mchana gari lilikuja ( range ) wakashuka watu na begi la nguo...walikua ni Mama ake, bro wake na mjomba wake..mngeniona siku hyo nilivyokua tulisalimiana vizur wakaingia ndani.

Mama ake aliniita na kuniagiza dukani duh...niliona viela kwenye pochi yake tamaa ikaniingia...nilizuga kama nimeenda dukan aliponiagiza maana walitoka nje kuangalia mazingira ya nyumba yao.nilizama chumban speed nikachukua hela kwenye ile pochi ya Mama ( roho inaniuma sana kwa nilio fanya ) 40k tu ndo nilichukua, alafu nikatoka kwa kunyata nikapita kinjia flan ivi nikaenda dukan nilipoagizwa....nilirud kuleta walicho niagiza hata yule Mama hakujua kama nimemcheza.

Barozi aliitwa na nguo kutolewa lakin nilipelewa na maneno nikawa mdogo ko jamaa alishinda yule Mama ni mtu smart sana alinishaur sana niache hyo tabia kama ni kweli nafanya..walilala kesho yake wakarud makwao.Siku fanya baya lolote na kile kisu nilichokificha

Niliendelea kumtafuna yule binti maana muda mwingi tulikua nae pale home tu.

Mzee alipewa notice ya kuhama ikifika mwezi December kwa kisingizio kuwa Nyumba inabak ya Familia..Mzee aliwalaumu bila kujua kuwa chanzo ni mimi.

Nitarejea.
 
Achana na hao wazinguaji shusha vitu. Ila ulikua na kapepo aisee hiyo timing ulompiga mazaa sio poa
 
katika maandazi nyanya wewe ni namba moja mtu anatoa ushuhuda wake wewe unaleta udada kwenye story kaanze na wale wanaotoa shuhuda za kuua na kutoa mimba kanisani acha umbea broo uache tabia za kimama
☝🏾I'm not your bro, *** and hate your mind, similarly ask yo mom about this habits.

Wewe masikini kitu kama hukijui funga kopo lako. Mwanza miaka ya 2006/7 yalizuka Makundi ya kishenzi ya kihalifu. Kubwa lao lilikuwa linaitwa MANYILIZU, waliyokuwa wanayafanya hawa washenzi sikia hivyo hivyo. Mwanza kulikera, kulistaajabisha ila aliyekuja kuiokoa ni Kamanda Steven Zelothe akaumaliza ushenzi ule kwa kuwashirikisha wananchi. Kuna dogo mmoja ni mdogo wangu pia, nilisoma na dada yake shule ya msingi na tuliishi mtaa mmoja aliwahi kumkata hasimu wake mguu akaondoka nao begani unavuja damu.
☝🏾Sasa dogo unatokwa povu la nini?, Mbona kama ute unakutoka wakati jinsia yako inaonekena dhahili upaswi.

Hebu tulia kwanza.
 
☝🏾I'm not your bro, **** and hate your mind, similarly ask yo mom about this habits.

☝🏾Sasa dogo unatokwa povu la nini?, Mbona kama ute unakutoka wakati jinsia yako inaonekena dhahili upaswi.

Hebu tulia kwanza.
Unajikuta wewe nani haswaa, haya kama wewe mwamba mtafute msimuliaji uso kwa uso. Umshauri au umoneshe umwamba muoneshane nani zaidi.
 
I'm not your bro, **** and hate your mind, similarly ask yo mom about this habits.

Sasa dogo unatokwa povu la nini?, Mbona kama ute unakutoka wakati jinsia yako inaonekena dhahili upaswi.

Hebu tulia kwanza.
sibishani na demu kama wewe nikala ban bure....endelea na ushoga wako but usiharibu nyuzi za wanaume subiria za mademu wenzako ndio uanze kufanya followup....on top of that hunijui sikujui take your own time kima wewe.
 
Uzi wako ndio unafikisha jalada polisi.ukiona hivo unatafuta la kutafuta JF sio kila mtu kumfungukia
Kuna msemo napenda kuutumia, "jambo baya unalomfanyia mwingine, litarudi kwako kwa njia nyingine"
 
mpaka notice mama hajarudi na wale wanakikundi bado hawajajua yupo wapi? na mzee hajawajibishwa bado?
 
Acha unoko jomba, mtu anakusimulia unaanza hadi kumfuatilia, huo ni uchawi, mind yo business, mnawafanya watu waogope hata kushea simulizi zao
Hili Jamaa ni Lipuuzi tu.

Halijui umuhimu Wa watu kueleza Historia za maisha yao, kwamba wengine tuna vya kujifunza.

Isitoshe mpaka mtu kufikia hatua ya Kueleza Story yake ina maana kuwa tayari alishaachana na Ukora wake Wa zamani. Ama anajutia hivyo anatoa fundisho Kwa hadhira ili kuijenga Jamii njema.
 
Jamaani mimi hapa ninatoa ushuhuda wangu jinsi nilivyokua kipindi cha nyuma, nilifanya makosa nakiri ndio nilifanya, ila watu washaanza kuni judge as if me nimewaambia bado ni mwizi,

Nitoe rai kwenu tuwe wavumilivu tu subir story iishe ndo uni judge vizuri.

Inaendelea

Tabia yangu ya kuiba ilikua inaendelea niliendelea kuiba nguo kama kawa mpk huyo jamaa alianza kustuka kuwa nguo zake zinapotea sana.

Kuna siku moja jamaa alileta begi flani hivi lilikua na nguo mbali mbali za kuuzwa, hizo nguo zilikua amemuagizia mchumba wake kwa ajili ya kuziuza ( kwa mujibu wake alivyoniambia )...basi kuna siku niliingia kutafuta chochote kama kawaida yangu ila siku hyo niliingia na bro wangu ( mtoto wa bamkubwa ).... jamaa huyu alikua hana ustarabu kabisa nilijuta kuingia nae.

Jamaa vitu alikua ana vivuruga balaa vingine anavitupa tupa yaani nilichoka, alivyokosa alivyokua anataka aliamua kuchukua Vitasa vya mlango ni vipya, me nilifungua lile begi la nguo nikachukua vinguo vya kike viwili vya kumpa Manzi angu....tulivyo maliza ilibid nianze kupanga vitu vilivyo vurugwa .

Jamaa alijua kuwa kaibiwa aliniita akanambia me nikaruka futi mia....Jamaa aliamua kumleta pale home binti mmoja hivi ni ndugu yake awe ana muangalizia mji.

Niliona mambo ni mabaya kwa ujio wa huyo binti nilichukia ila sikutaka kuonesha chuki yangu,huo ndo ulikua ni mwanzo wa anguko langu.maana huyo binti alikua anakaza kinoma.Ilibidi nianzishe mazoea nae ya kinafki.na kweli tulizoena nae mpk kuna siku moja nili sex nae ( na alivyokua bonge )...licha ya kumla bado alikua ni kikwazo kwangu yaan kutoka kwake ilikua ni kidogo sana.

Nilipanga nitaibaje asee...kuna siku aliingia king alinitext kuwa niko wap nikamwambia niko town akanambia njoo na chips basi....nikasema poa na kweli nikamletea chips akadai ana nyege hatare nilimgonga siku ( kwenye gheto langu ) wakat huo dogo aliingia chumban kwa jamaa akachukua hela na nguo.

Kuna siku nimeenda Shirati na kwaya tulialikwa kutoa huduma ya uimbaji, safari ilikua ni ya kwenda na kurudi, nilivyokua Shirati kwenye huduma dogo alinipigia simu kuniambia kuwa jamaa kaiba nguo zangu ( nilifua nguo ijumaa usiku, jumamos alfajir niliamka nikazianika nje )....sasa kumbe yule jamaa alichukua hizo nguo.Nilichukia mpk ibada ilikua haipandi kabisa natamani tuwai kuondoka.

Saa mbili usiku tulikua tumesharud kutoka shirati nilifika home nikavua sare yangu, dogo akanipa mkasa mzima nikachukua kisu nikamfuata chumbani kwake,alikua anaona tv pamoja na yule demu ( ndugu yake )...nilifika nikaanzisha moto kwa huyo jamaa nikidai anipe nguo zangu nilimkaba huku nimekitoa kisu kumwelekezea usoni, yule demu ( ndugu yake ) alipiga yowe majirani wakaja kuamua, nilishikwa kutolewa nje yule jamaa akafunga mlango, barozi aliitwa ndo jamaa akatoka lkn alikua kakaa mbali na mimi.

Alidai hizo nguo ni zake na ameshazisafirisha kwenda Butiama ( kwao na Mzee wake ) ila kama na dai ni zangu basi ataagiza ziletwe ili kuondoa utata...nilikubali na ikapangwa siku za hizo nguo kuja.

Nilijua kuumbuka kwangu kuna karibia niliwaza nitafanyaje au nikimbie Musoma...ila niliamua kujikaza kukabir hilo tatizo lililo mbele yangu.

Siku ya tukio ilifika jamaa siku hyo hakwenda kazini siku hyo nilikua na hofu lakin sikua na jinsi...nilimwambia dogo achelewe kutoka shule siku hyo.nikachukua kisu nikakiweka chini ya godoro ili muda ukifika niende nacho kwa ajili ya lolote litakalo tokea.

Mchana gari lilikuja ( range ) wakashuka watu na begi la nguo...walikua ni Mama ake, bro wake na mjomba wake..mngeniona siku hyo nilivyokua tulisalimiana vizur wakaingia ndani.

Mama ake aliniita na kuniagiza dukani duh...niliona viela kwenye pochi yake tamaa ikaniingia...nilizuga kama nimeenda dukan aliponiagiza maana walitoka nje kuangalia mazingira ya nyumba yao.nilizama chumban speed nikachukua hela kwenye ile pochi ya Mama ( roho inaniuma sana kwa nilio fanya ) 40k tu ndo nilichukua, alafu nikatoka kwa kunyata nikapita kinjia flan ivi nikaenda dukan nilipoagizwa....nilirud kuleta walicho niagiza hata yule Mama hakujua kama nimemcheza.

Barozi aliitwa na nguo kutolewa lakin nilipelewa na maneno nikawa mdogo ko jamaa alishinda yule Mama ni mtu smart sana alinishaur sana niache hyo tabia kama ni kweli nafanya..walilala kesho yake wakarud makwao.Siku fanya baya lolote na kile kisu nilichokificha

Niliendelea kumtafuna yule binti maana muda mwingi tulikua nae pale home tu.

Mzee alipewa notice ya kuhama ikifika mwezi December kwa kisingizio kuwa Nyumba inabak ya Familia..Mzee aliwalaumu bila kujua kuwa chanzo ni mimi.

Nitarejea.
MKUU SHUSHA MISUMARI MZEEEE NIPO HAPA KUKULINDA
 
Hili Jamaa ni Lipuuzi tu.

Halijui umuhimu Wa watu kueleza Historia za maisha yao, kwamba wengine tuna vya kujifunza.

Isitoshe mpaka mtu kufikia hatua ya Kueleza Story yake ina maana kuwa tayari alishaachana na Ukora wake Wa zamani. Ama anajutia hivyo anatoa fundisho Kwa hadhira ili kuijenga Jamii njema.
Huyo dada atakua ana depression inamsumbua
 
Kuna jamaa amekuja kuharibu uzi ........kama yule mshikaji .....alietuharibia kwa RWANDA MAGERE

ANyway .,mtoa post tupe mavitu
 
Back
Top Bottom