Sio kilahisi mkuu ka ufikiravyo nilikua naangalia na nan wa kumuibia sikurupukiWewe ulikuwa ni mwizi sugu bila shaka utakuwa unaendelea na wizi ila kimya kimya mngetembelea mitaa nilipokuwa naishi na hakika sasa hivi ungekuwa kuzimu una busu miguu ya shetani..
😀😀😀 shukrani sana mkuu ila nimecheka kwa hyo commentMzee ulikua unaiba hadi shetani akaona amepata mentor .. Kwa wizi huo unaweza jikuta unajiibia hata wewe mwenyewe
... All in all story kali na imetulia, pia upo humble sio kama watoa story wengine wanataka walambwe miguu ndo washushe vitu
mkuu storry yako tamu sana aiseeeeeInaendelea
Harakati za kuiba na Kusali ziliendelea kama kawaida...kuna kipindi nilichalala vibaya mno nikawa nawaza napataje pesa sasa...sikumbuki ilikua ni juma ngapi? ila ilikua ni September.....niliamua kwenda mitaa fulani hivi lbd nitakutana zari huko njiani lakini hakukua na zari la maana nililokutana nalo...niliudhika sana nikawa narud home, mara nikakutana na wale wanaonunua vyuma chakavu, walikua ni wababa wawili wako na baiskeli wana piga promo biashara yao "* tunanunua vyuma chakavu..tunanunua vyuma chakavu*"..basi nikawaita waje ( home kulikua kuna bomba flani hivi refu la chuma la yule yule Jamaa nae mwibia ).....niliwaambia nina mali kama vipi twendeni mkaione tupande bei....wakakubali tukaanza safari kwenda home, kufika nikawaonyesha mzigo ulikua tu hapo nje...
Hao wanunua vyuma waliliona ila wakasema kuwa hilo chuma ni refu sana na wao hawajatembea na msumeno wa kukatia ko labda waende kuchukua msumeno ndo warudi...ilikua mida ya saa saba kuelekea saa nane...niliwaza sasa hawa waje waende tena warudi c kushikwa nitakua nimeshikwa na jamaa kama akirudi ghafla...
Niliwaza nikakumbuka kuwa mle chumbani kwa yule jamaa huwa kuna machuma matatu yapo kwenye kabati la ukutani...nilisema yes hayo ndo nachukua moja nawapa hao wakuda.
Yalikua ni machuma yale ya kwenye Mashine za ku pampu maji ziwani....niliwaza hapa nitakua na 40k kuendelea...hilo chuma ni zito mtu mmoja hulibebi..
Niliwaambia wale wakuda wanisubir niwaletee mali, nikaangia chumban kwa jamaa na gunia ili nilibebe lakin lilinishinda..nikawaita madogo wanisaidie, yule ambae sio mwizi alkua ana shangaa ana leta usabato wake pale eti kuwa mnachokifanya sio kizur...nilimwambia tu hela ninazokupa unafikir hua zinatoka wapi?..ila alisema sio poa ninayo fanya, siku mjali nilimwambia beba mzigo.
Kwenye ile harakati ya kunyanyua lile chuma maana tulikua tumeshalitoa kabatini, lilituteleza tukiwa tumelinyanyua bahati mbaya likatua kwenye mguu wangu wa kulia. hayo maumivu yasikie tu kwa jirani, nilivumilia kiume tukalitoa hivyo hivyo kibishi mpaka nje kwa wale wakuda ( nawaita wakuda kwa sababu ni Wakuda kweli )... tulivyolifikisha wakaliangalia mmoja akacheka na kusema eti hili ni chuma DONGO...( hivi kweli kuna chuma dongo )...nilishangaa kusika chuma * dongo* ndo chuma gani hilo.
Walisema hua hayana thamani yale na walivyoniua nguvu ni baada ya kulipima wakakuta ni kg 33aisee kuna vitu vinafurahisha...niliwaambia kuwa hawako serious na kazi za watu yaani chuma tuna beba watu watatu tena kwa shida eti liwe kg 33.walitoa 6k kunipa eti ndo lina thamani ya bei hyo...niliwaangalia vbya wakati huo nasikilizia maumivu ya mguu, niliwaambia madogo tulibebe tulirudishe ndani...lakin hao wakuda waliniuliza " unataka sh ngap dogo tukupe "...niliwaambia 50k wakasema hilo chuma halina thamani lbda tukupe 20k...niliona hawa wakuda ni matapeli tu hawako serious tulilibeba chuma kurudisha ndani.
Wakuda wakaanza ku toa matusi eti nimewapotezea muda wao...tulivyo rudisha chuma ndani ilibidi niwarudie hao wakuda ili wanitukane vizur niwasikie.Nilikua nimekaa kwenye ngazi za mlangoni nasikiliza tu matusi yao...mdogo wangu wa kike alikua ndo anatoka shule muda huo ko alikuta hako ka mzozo.
Niliona wavuka mipaka sasa na matusi yao nilimwambia huyo dogo langu aingie chumban kwangu aniletee kilichopo chini ya Uvungu ( alikua anakijua nachokitaka )....alikuja na Panga ( lile lile ambalo mzee alitaka kumkata nalo Mama 2013 )..nililipokea nikawafuata hao wakuda japo na maumivu ya mguu lkn nilikua siyasikii sana.
Walivyoona hivyo walibaa na huku ni wakubwa kwangu walishindwa cha kufanya, niliwafuata nikiwa nime kunjia sura sicheki wala nini..mbona walilala mbele wakaacha baiskeli yao na kilo yaona ningewapiga bapa sema walikimbia.
Nilichukua baiskeli nikawatupia na ka kilo kao nikawaambia wasepe kabla sijawaua ( nilikua sitaki waendelee kubaki pale maana kama yule jamaa angetokea ingekuwa shida kwangu ).
Wakuda walisepa madogo wakabak wanacheka tu huku wakinambia "holy holm we ni nyokoo ".
Nilirudi chumban kwa yule jamaa hata nijipooze na ka kinywaji ( vilikua kwenye fridge yake ) nilichukua Alvaro mbili moja nikampa dogo langu wa kike na moja nikanywa, pia nilikuta vi Apple nikachukua kamoja ile namkatia dogo langu Kisu kilikua ni kikali kisenge kikapita na mimi kwenye kidole cha mkono wa kushoto, maumivu ya kidole na mguu yasikie tu....nilijiaulumu kwann nimefanya kile kitendo nilimuomba Mungu anisamehe tu.
Niliuguuza majeraha yangu tena nilichoma sindano ya tetenasi kabisa...mambo yalizidi kwenda na siku zangu zilikua zinahesabika kwa kweli.
Nitarudi tena kuendelea.
Hahahaaa ukaamua kwenda kujipooza kwenye friji ya watu.. Huyo jamaa hatokuja kukusahau aisee. Hiyo kujiponda na chuma na kujikata si ndio dawa za yule mganga hizoInaendelea

Huyu jamaa siyo mwizi ni jambazi alafu jiulize uliwahi kuona/kusikia wapi 'eti' mwizi kila siku yeye akamatwi wala hapigwi, kila siku yeye ndiye mtemi.Wewe ulikuwa ni mwizi sugu bila shaka utakuwa unaendelea na wizi ila kimya kimya mngetembelea mitaa nilipokuwa naishi na hakika sasa hivi ungekuwa kuzimu una busu miguu ya shetani..
Afu jamaa panga lilikuwa haliludi nyuma, likitolewa inabidi lifanye kazi yake inayotakiwaHuyu jamaa siyo mwizi ni jambazi alafu jiulize uliwahi kuona/kusikia wapi 'eti' mwizi kila siku yeye akamatwi wala hapigwi, kila siku yeye ndiye mtemi.
Kutokana na hiki kituko chake inaonekana ni yankee mdogo sana.
yule mganga ni chenga tu hana lolote hyo ilikua ni accident kazini.Hahahaaa ukaamua kwenda kujipooza kwenye friji ya watu.. Huyo jamaa hatokuja kukusahau aisee. Hiyo kujiponda na chuma na kujikata si ndio dawa za yule mganga hizo
😂😂 labda me ndo cjui tofaut ya jambazi na mwizi....BTW bado miaka 4 nifike 30 uyank na uagaHuyu jamaa siyo mwizi ni jambazi alafu jiulize uliwahi kuona/kusikia wapi 'eti' mwizi kila siku yeye akamatwi wala hapigwi, kila siku yeye ndiye mtemi.
Kutokana na hiki kituko chake inaonekana ni yankee mdogo sana.
🤣🤣🤣Ila ba mkubwa we ni mwizi aisee,,mm binafs nlikuwaga mwizi nlivyokua mdogo,mwanzon nlikua najiona nlikua mafia kinoma lkn kuanzia nmeanza kusoma story yako,najiona mm n zuchu tuu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Comment zangu haziwezi kuharibu uzi ndio maana bado uzi umeendeleaUsituharibie story hapa kwa judgement zako, kaamua kusimulia Ina maana amebadilika