Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Sasa best mie siongelei kudeka...point yangu ndo hiyo naingelea mwanaume anayejidekeza kwa mkewe...unajidekezaje sasa na majukumu ndo haya hapa mbele yetu..ww hata kutatua vichangamoto vyepesi huwez..lol
Point yako ww kwamba mwanaume unayempenda ni yule ambae kila ukisema kitu aseme ndio hata kama sina nikuambie subili takupa sisi wengine kama nyekundu ni nyekundu tu SINA umenikumbusha kuna mwanamke mmoja nilikua nae yan yy akikuomba kitu umpe kwa wakat usiseme sina umenuniwa nikapiga chini nikaanza kupokea SMS za vijembe mm sijui kutunza watoto wazur nikasema sawa bora uniambie unajiuza nijue moja tu
 
Sema dada yangu,hizo sindano zako zinauma sana japo zinaponya,,,,,,ukweli unaouma wanaume tunajilegeza sana
Zinakuuma ww mkuu sisi wengine maskin jeuri huna sema sina hawa viumbe watakufiris utachekwa mtaan ukiwa na aibu eti baby ataniacha
 
Point yako ww kwamba mwanaume unayempenda ni yule ambae kila ukisema kitu aseme ndio hata kama sina nikuambie subili takupa sisi wengine kama nyekundu ni nyekundu tu SINA umenikumbusha kuna mwanamke mmoja nilikua nae yan yy akikuomba kitu umpe kwa wakat usiseme sina umenuniwa nikapiga chini nikaanza kupokea SMS za vijembe mm sijui kutunza watoto wazur nikasema sawa bora uniambie unajiuza nijue moja tu
Wanaume wenzako wamenielewa......una utoto bado
 
Point yako ww kwamba mwanaume unayempenda ni yule ambae kila ukisema kitu aseme ndio hata kama sina nikuambie subili takupa sisi wengine kama nyekundu ni nyekundu tu SINA umenikumbusha kuna mwanamke mmoja nilikua nae yan yy akikuomba kitu umpe kwa wakat usiseme sina umenuniwa nikapiga chini nikaanza kupokea SMS za vijembe mm sijui kutunza watoto wazur nikasema sawa bora uniambie unajiuza nijue moja tu
Ndo kinachomaanishwa mkuu,sasa sijui yeye akili zake na pesa zake atazitumia wapi kama kila kitu unafanya wewe😀😀
 
Point yako ww kwamba mwanaume unayempenda ni yule ambae kila ukisema kitu aseme ndio hata kama sina nikuambie subili takupa sisi wengine kama nyekundu ni nyekundu tu SINA umenikumbusha kuna mwanamke mmoja nilikua nae yan yy akikuomba kitu umpe kwa wakat usiseme sina umenuniwa nikapiga chini nikaanza kupokea SMS za vijembe mm sijui kutunza watoto wazur nikasema sawa bora uniambie unajiuza nijue moja tu
Ukitaka uelewe haya mambo usiweke mawazo kwamba kila kitu ni hela, kwamba kila changamoto inatatuliwa kwa hela
Babu zetu walikua hawa na hela lakini walikua na wake hadi 12 na kila mke ndo analima chakula cha kujilisha na kulisha wanae kwasababu walikua na uwezo/akili ya kuwamudu

Sad to say wanaume wengi siku hizi tumeyumba
 
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa🤣🤣! Kifupi dogo (mtoto)amepanda✈ kwenda shule kamuacha dingi na boxer (🏍)yake hapa Moro🤣🤣!
Mama ana ishu kubwa lakini kashindwa kusomesha mwanae sekondari haya sawa,
Baba ake mwalimu wa sekondari halafu mkwe wake kasisitiza anyimwe nauli ili asiende shuleni kwa mwanae🤔,kwani hiyo shule iko ulaya ama china mkuu,mpaka kipato cha mwalimu kisitoshe kupata nauli?😀😀

Haya kama ni ya kweli basi huyo mama mwenye ishu kubwa na kujiweza atakuwa na ugoro kichwani,hizo hela anatafuta za nini sasa?
 
Inaendelea

Wakati nikiwa bush nilikua nikikaa alone basi nilikua namkumbuka sana hyo Manzi hyo hari ilikua inanitesa moyoni.

Pindi ndugu zangu wamekuja nao bush atleast nika avoid hyo situation...bro wangu alinambia kuwa kanitafutia kazi kiwandani ko niende kupiga kazi kuliko kukaa home bila kazi maalumu.

Nilikubali na kiwanda kilikua kiko Arusha nilitakiwa mwezi wa nne niwe Arusha kuanza kazi ( sikuambiwa na sikuuliza kiwanda kinatengeneza nini ).....lakini kutokana na Korona kupamba moto sana kiwanda kilisitisha kwa muda kupokea watu.

Ilibidi nisubir mpk waanze kuchukua tena watu....bush nilikaa mwez mmoja nikapachoka kutokana kaz ya kupalilia aaah...kiukweli ckuweza niliamua kurud tu musoma kwa vile Nyumban kwao mama ni wakulima wa mpunga, Bibi kizaa Mama alinituma gunia mbili na Nusu..ko mimi nilichukua kilo 80 ili nikifika nazo msoma niuze kwa wadau.

Basi siku ya safari nilishangaa....bro ma yule mdogo wangu ( mwiz ) nao walitaka kuondoka bush basi kwa pamoja tukasepa kurud musoma.Bush walibaki Mzee, mama na ndugu zangu watatu.

Nikiwa musoma niliuza ule mchele kama kilo 50 kwa kilo 1 sh 1000 watu walikua wanaung'ang'ania hatar.

Kwenye mwez mei hivi kuna dogo mmoja alinifuata pale ps.

Nilitaka kusahau kuhusu yule classmate wangu kumwelezea .

Wakati nikiwa bush boss siku moja alinipigia simu akaanza kunieleza madudu ya classmate kuwa ckuiz kawa mjanja na hela haioni.Mpka akawa anasema bora ungebaki kupiga na cjui kwanini nilimkimbia. duh..nilicheka na kusikitika kwa wakati mmoja.Huyo boss alisahau kuwa hyo biashara ina wenyewe na wenyew ilikua ni sisi kiukweli alikurupuka sana kumweka classmate wangu ndo asimamie kila kitu.

Me nilimpa pole tu nikamwambie amvumilie ataziona hela.Hazikupita siku nyingi classmate nae alinipigia simu, alikua anadai kuwa kuna demu alianza nae mahusiano kumbe demu alikua ni mdangaji hatari.Hela za ps zilikua zinaishia kwa huyo demu.

Alitaka nimsaidie 240k ili ampe boss wake maana alikua hajampa boss hela kama wiki tatu karbu mwez hela ya ps.Yaani alikua hana hata aibu kuniomba hela yote ile maana nikikumbuka nilivyokua nikimuomba hata buku tu ya msosi anasema hana hela.

Nilimwambia siko vizur kipesa labda nimpe 20k akasema nimkopee kwa mtu.jamaa alikua fala nilikataa ikabid nimpe tu hyo 20k.

Jamaa boss alimtema ko alifunga ps kwa muda akawa ananisubir nirud msoma niendelee na job.Sikutaka kurudi kupiga job pale tena nilichofanya nilivyorud msoma nilienda tu ps nikakaa kwa muda nikawa na mtafutia dogo ili ampigie kaz maana me nilijua muda wowote nasepa zangu Arusha.

Turudi tena kwa huyo dogo aliyenifuata ps.Huyo dogo alikua anasimu anauza ( samsung A20 ) lakini ilikua mbovu ( screen na touch vilikua vibovu ) ko alitaka nimpe 50k tu.Nilikubali lakin nikamwambia kwa muda huo sina kitu aje kesho yake achukue pesa.

Niliipeleka simu kwa fundi aone itani cost shngp kutengeneza kwa vile fund nilikua nafahamiana nae alinambia kioo na touch pamoja na hela ya fund jumla nimpe 160k nililia lia akakubali kunitengenezea kwa 120k cku fund nikampa 10k kwanza ikabaki 110k.

Na nilikua sina smartphone kabisa ko nilitaka hyo simu fundi atengeneze chap ili nirud mtandaoni.Kama kawaida ya mafundi sio waaminifu kila nikienda anasema njoo kesho njoo kesho yani mpk mwezi wa sita ukafika ni njoo kesho.

Wakati fundi ana nambia njoo kesho na mimi ndo nilikua namwambia yule dogo mwenyewe simu hivyo hvyo.Na mwezi wa sita ilifika kiwandani niliambiwa niende na hapo hapo Mzee alikua amepata mkwanja ( cjui alitoa wapi ) mkwanja ulikua mrefu sana, alinipa 1.2 milioni za kuanza nazo maisha, nilichofanya nilichukua 300k nikanunua smartphone Samsung A30 na vitu vingine vya kwenda navyo chuga.kwenye yale matumiz nilijikuta nimebaki na laki 8.

Kwa vile likizo ilikua imeisha basi ilibid pia wale wadogo zangu wawili ( wa kike na yule mwiz ) pamoja na sister tusafir nao pamoja kwenda wao wakiwa wanaenda kwanza Karatu kuchukua vitu fulani alafu ndo waende dodoma.

Siku ya safar me niliwaambia kwanini wasisubir twende siku inayofuata, walikataa wakasema wanawai, basi me ckwenda nao.Kesho yake ilikua ni cku mby sana kwetu kama familia tulipata habari kuwa sister na wadogo zangu wawili basi walilokua wanasafiria limeanguka na kuua na kujeruhi.

Sister angu yeye hakuumia kabisa lakin hao madogo ndo waliumia sana hasa huyo wakike aliumia vby yani alkua mahututi.Waliwapeleka hospital iliyokua jiran na mdogo wangu huyo wa kike alihamishiwa hospital ya mkoaranga akawa anapigania maisha yake ( ICU )...huyo wa kiume yeye alivunjika mguu, wakike nae alivunjika mguu vby mpk saiz hawez kutembea bila magongo.

Nacho shukuru ajali hyo ilitokea Mzee alikia ana hela sana ko pesa ilitumika nyingi sana kwenye matibabu..yan nyie acheni tu kila muda tulikua tunapigiwa simu kuwa tumuombe mdogo wetu muda wowote ana kata kamba.

Sicheki kwa mazuri ila katika kipindi nilichomkumbuka Mungu kwa dhati ni hicho kipindi nilikua naomba kila muda tena kwa dhati.

Mungu ni mwema sana alijibu maombi na Huyo dogo kwa uwezo wa Mungu alipona ubaya tu ndo hatembei dogo.

Ngoja nikomee hapa kwanza nitarejea.

Poleni kwa kuwaweka sana.
hiyo ajali ilitokea karatu??
ilihusisha coast line??
 
Hawa viumbe siwaelewi kabisa ukiwa na kitambi watasema hawatak ukiwa na six pack utaambiwa haupo romantic unatumia nguvu
Me nilijifunza kitu kutokana na mahusiano yangu na yule Mywangu sasa hivi natembea kifua mbele wala hata hawanipi shida kabisa.
 
Ukitaka uelewe haya mambo usiweke mawazo kwamba kila kitu ni hela, kwamba kila changamoto inatatuliwa kwa hela
Babu zetu walikua hawa na hela lakini walikua na wake hadi 12 na kila mke ndo analima chakula cha kujilisha na kulisha wanae kwasababu walikua na uwezo/akili ya kuwamudu

Sad to say wanaume wengi siku hizi tumeyumba
Sio zote utatatua kwa hela lakini nyingi zinahitaji hela mkuu,hela siku hizi ndo kila kitu usipokuwa na hela utakimbia familia ama utakufa na stress,make hata wanawake wa siku hizi ni miiba mikali,wajuaji mpaka wanaboa
 
Mama ana ishu kubwa lakini kashindwa kusomesha mwanae sekondari haya sawa,
Baba ake mwalimu wa sekondari halafu mkwe wake kasisitiza anyimwe nauli ili asiende shuleni kwa mwanae🤔,kwani hiyo shule iko ulaya ama china mkuu,mpaka kipato cha mwalimu kisitoshe kupata nauli?😀😀

Haya kama ni ya kweli basi huyo mama mwenye ishu kubwa na kujiweza atakuwa na ugoro kichwani,hizo hela anatafuta za nini sasa?
Huoni aibu umezaa lakini had watoto usomeshewe ukweni? Mie kama kakangu itankfi tukuweke chini..has unasaidiwa na ww ujiongezenhata kutoa nauli ya mtoto holaaa..leo unataka ukaione shulrnhuna hata nauli..kaa ndani tu
 
Ukitaka uelewe haya mambo usiweke mawazo kwamba kila kitu ni hela, kwamba kila changamoto inatatuliwa kwa hela
Babu zetu walikua hawa na hela lakini walikua na wake hadi 12 na kila mke ndo analima chakula cha kujilisha na kulisha wanae kwasababu walikua na uwezo/akili ya kuwamudu

Sad to say wanaume wengi siku hizi tumeyumba
Kwahy ww ndugu kila anachokuambia demu wako unasema ndio acha kuwatetea hawa viumbe
 
Back
Top Bottom