Kwanza pole sana kwa ajali waliyopata nduguzo, but speaking from my experience wanawake ni wabaya sana kama ukiwa nao kwenye mahusiano halafu ukawa unawadekeza dekeza na kujirahisisha sana ( I mean ukaonyesha kumpenda kupita kiasi, kila anachokitaka unafanya, akikohoa kidogo umo, sijui akitaka hiki unampa, kosa lake unaomba msamaha wewe)
Hapo lazima uchezee za uso, inaonekana hata wewe jamaa pamoja na harakati zako zote kwa huyo demu ulikua bwege ndio maana. The more you love the more you suffer, the more you care the more you are fuck3d!
Nilipitia same scenario niliamini kumpenda sana kwa kujishusha kwake ndio mapenzi kumbe ndio akaniona boya "hakuna anae value cheap item" the same thing kwetu pia wanaume. Baadae after ku suffer rafiki zangu kadhaa wa kike wakanipa siri moja kua
Wanawake wengi wanapenda na kuvutiwa na wanaume (makauzu) sina maana mkawapige wapenzi wenu maana yake hapa ni wanaume wenye kujiamini na kua na misimamo yao, wasiotingishwa wala kubabaishwa na uzuri wa hao wapenzi wao, kifupi kua gentleman ila usiwe too romantic japo all in all ukiwa good financially itakupa confidence zaidi ya kua na misimamo yako heavy
Wote mnaoteswa na wanawake wenu be a man acheni kulia lia kama watoto, wapendeni lakini kuweni na conditions, na limit zenu, usipoiona thamani yako wewe mwenyewe kwanza, hakuna atakayeiona na kuithamini