Hadithi ya kweli ya maisha yangu

unaposema uwe smart vibaya mnoo unamaanisha nini? naomba ufafanuzi.
Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe😒😏😏😏😏😏😏😏! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!

Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa🤣🤣! Kifupi dogo (mtoto)amepanda✈ kwenda shule kamuacha dingi na boxer (🏍)yake hapa Moro🤣🤣!
 
dah nimekutafuta ibox sikupati, nakuomba inbox tutete kidogo...
 
nina maswahiba yangu tu, ushauri wako nikiupata utaniponya ndio maana nimekuomba pm
Yaan kama ni wa mapenzi mm hua niko straight sana nitakupoteza..thts y hunion jukwaa za mapenzi best...hahaha huko mm nna maamuzi magumu sana...labda yawe ya kijamii! Ila ukiniuliza sijui habar za demu wangu ananinyanyasa ntataka unyanyaswe zaidi akili ikuamke maana hamjitambui
 
...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
sorry to ask
Kwa io ulikuwa na wanaume wawili at the same time??
 
Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe😒😏😏😏😏😏😏😏! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!

Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa🤣🤣! Kifupi dogo (mtoto)amepanda✈ kwenda shule kamuacha dingi na boxer (🏍)yake hapa Moro🤣🤣!
Word! Yaan kama unanisemea mimi nilivyo hahahaaa....mpaka wife ananishangaaga navyotoaga simpe solutions under complex circumstances na zina work out.
 
Yaan kama ni wa mapenzi mm hua niko straight sana nitakupoteza..thts y hunion jukwaa za mapenzi best...hahaha huko mm nna maamuzi magumu sana...labda yawe ya kijamii! Ila ukiniuliza sijui habar za demu wangu ananinyanyasa ntataka unyanyaswe zaidi akili ikuamke maana hamjitambui
waaaafrika wana kichwa ngumu sana

In moi voice
 
Back
Top Bottom