Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Ila sometimes wahindi ni watu poa sana hapo kiwandani kuna Wabongo wale ma in charge wanajikuta sana miungu watu.

Siku zote m’bongo akiwa na kacheo flan kudadeq sio kwa kujikuta huko labd tu awe mtu poa sana ila wengi wao wanajifeel km ndio wameshamaliza mchezo ila madem wa ar chuga nawaappreciate wambulu nawapenda sana shida sas inakuja sio wachoyo wale wanapenda mb** balaa yan hata ukiisimamia kwa ukucha akikutana na mwngn bado atavua chupi tu
 
wambulu hua wanapenda kurudisha fadhira kwa yule ambae ame msaidia, yaani hata ukimkuta njiani ukamsaidia labda ndoo ya maji basi hata kuacha bure atataka kukupa chochote hata papuchi upige ili roho yake iliridhike 😊😂.

Ila ni wazuri hawa wadada yani cjui hata niwaeleze vipi ila ni wazur sana.
 
wambulu hua wanapenda kurudisha fadhira kwa yule ambae ame msaidia, yaani hata ukimkuta njiani ukamsaidia labda ndoo ya maji basi hata kuacha bure atataka kukupa chochote hata papuchi upige ili roho yake iliridhike .

Ila ni wazuri hawa wadada yani cjui hata niwaeleze vipi ila ni wazur sana.

Yan nawaelewa kabisa hili kabila ni wazur sura,umbo,rangi,nywele shida ndio sio wachoyo hao ni chupi mkononi
 
Una sweta halafu ulitoe kwaajili ya baridi? Hapo hujaeleweka mkuu...VP malipo yalikuridhisha kidogo
Ndani ya kiwanda baridi hamna yani hata kama una sweta utalivua tu kutokana na barid sema ukitoka nje tu hiyo barid sio ya nchi hii.

Ni kweli simu haziruhisiwi kabisa hata wewe hurusiwi kuingia na msosi wako na hakuna kulala wakikukuta kazi huna ama wanakukata mshahara, kuna jamaa mmoja alilala karbu na mashine ya kupika material si akagusa wire wa kuwashia hyo mashine, mashine ikazima walimtimua kama mwizi.

Ila sisi tulkua tunatoboa kibishi
 
bora hao machalii sasa nilivyokutana na wasimbiti wa kinesi ngoja niwaelezea huko mbeleni
jambazi akifiwa hulia machozi halisi sio bandia
hata kwa mchawi huwa wanazika
nimecheka sana ulipokuwa unampiga yule tapeli afu na wewe roho inakusuta
 
Inaendelea

Nikiwa bado nipo Arusha sema huku ckufanya matukio sana, ila ndo sehemu ambayo nilijifunza kupiga keyboard kikweli kweli.

Nilikua nawadanganya washkaji zangu me ndo mpiga kinanda kanisan kwetu ( na walivyokua wakiniona napiga kwenye simu ) walikua wana niamini kingese, sasa cku hyo jumamosi kwa vile me nilikua off nilikuwa nipo magetoni nimelala kufidia usingizi niliokua naukosa.

Mlango uligongwa kufungua nilimkuta ni mshkaji wangu mmoja hv yupo na mkaka mmoja na wadada wawili.

Tulisalimiana kisha yule mshikaj wangu akanambia kuwa kawaleta wale watu kuwa wanashida na mimi.mmoja wa wale wageni alijitambulisha kuwani fulani wametoka kanisa la wasabato ( silitaji ) walikua wanaomba niwe mwalimu wao wa kwaya, nilivyosikia hvyo nikawauliza wamejuaje kuwa mimi ni msabato....yule mshikaji wangu ndo akanambia kuwa kawambia ( maana c me nilimdanganya kumbe alichukulia ni ukweli ). Niliwaambia hilo sio shida alafu nikawaambia kuwa niko busy na kazi za kiwanda ko nahisi itakua ngumu.

Walisema sio shida me ni kupanga tu rratiba yangu fresh. Bora hata wangesema niwe mwalimu tu walitaka niwapigie beats nyimbo zao walikua nazo kama tatu niliwaambia kinanda sina huyo jamaa akasema kitapatikana ( duh....) aisee nilikuibali tu kuwa nitawapigia bure kabisa beats na ilikua beat nianze kupiga cku ya jumanne nikiwa off ( Off yangu ilikua jumamosi na jumanne ).

Walivyosepa nilimlaumu mshkaji wangu kwanini kawaleta wale watu, niliamua kumwambia ukweli me cjui kupiga kinanda nilikua nawadanganya....sikua na namna maji niliyavulia nguo mwenyewe.

Siku hyo niliweka bundle la kutosha nikawa YouTube tu naangalia zile tutorials how to play piano for the beginner, how to create beat yani cku hyo nili such mambo mengi mpk nikaanza kujua chord za f# ( sharp ) niliona ndo rahisi kwangu alafu nikabahatisha na namna ya kutengeneza beat ko nilijifunza kwa bidii sana kwa hizo cku sana nilikua nakomalia nijue chord kwanza uzur idea nilikua nayo ko haikua shida sana kuielewa.

Kesho yake jumapili nilienda kanisa moja la walokole nia yangu tu nipate kinanda.Ila ckufanikiwa kupata maana napo cku hyo nilikua naingia shift ya usiku ko kipindi natoka kiwandani jumatatu asubui nilipita kwenye kanisa moja nikamuona jamaa mmoja anapiga kinanda ( kanisa lile ni la nje )....nilimfuata pale alipo nikamwomba samahan kuwa anielekeze jinsi wanavyo creat beat nae akasema hajui anajifunza.

Kinanda kilikua ni Yamaha psr 2100 vile ambavyo vinatumia diskette ( sio flash ) ko nilichofanya nilichukua simu nikaingia YouTube faster.

YouTube inasaidia sana tena sana kila kitu inacho yani hadi raha.Nilianza kujarbu mdogo mdogo mpk nikajikuta naanza kuweza weza, nilikomaa cku hyo mpk ikafika midaa ya saa 7 mchana ndo nikaenda magetoni kujiandaa tena na shift ya usiku ili kesho ndo niwe off.

Jumanne ilifika na nilitoka cku hyo saa mbili asubui maana tulicheleweshwa kupewa kadi ( bila kadi na barakoa huingii kiwandani ) nilivyofika tu magetoni nakutana na yule msabato ananisubir nje ya geto langu....niliona huyi jamaa vipi ni mwambie tu ukweli kuwa me cjui kitu aah...niliacha nilisema ngoja tu nikaaibike tu kihivyo hivyo.

Nilimkaribisha ndani akasema hakai me nijiandae tu ili niondoke nae akanipeleke kwenye kinanda nianze kazi.Mimi hata kama kitu cjui nitakwambia najua na ninasimamia huo ukweli kuwa najua kumbe cjui.

Tuliondoka nae mpk sehemu moja hivi Ngara ya chini ( ilikua sio mbali sana na pale napoishi ) tulifika kwenye nyumba flani hivi nzur tu tukaingia mpk ndani sebuleni nikakutana kinanda kipo mbele yangu kinanisubir .

Nilitaman umeme ukatike lile zoez lisifanyike lakin wapi...ilibidi tu nikakae kwenye kinanda tu ckua na ujanja.Uzur ni kwamba yule jamaa alinambia niwasubir wale wadada waje ili wame wanaimba alafu me napiga beat.

Nilitumia muda huo kuingia tena YouTube kukumbushia niliyojifunza cku zilizopita.

Nilianza kukipiga kinanda kwa uwoga hapo bado wale wadada walikua hawajaja na kinanda kilikua ni Yamaha psr 650 kilikua kinatumia flash na MID cable, styles zake nilizipenda drums,jazz, rap na kadhalka.

Walipofika wadada niliwaambia kabla hatujanza kazi tuombe kwanza tena me ndo niliomba na niliomba ombi la huruma sana.Nadhan Mungu alisikia ombi langu.

Nyimbo ya kwanza ilkua haina kona kona nyingi ( Minor ) ko ilikua nyepesi kidogo nilivyojua tu hatua zake kwenye chord ya f# ( sharp ) basi nilienda kwenye function kuanza kutengeneza beat

Kazi ilkua ni kupiga intro na zile lead zake duh..mwanzo mgumu ila hyo beat niliibahatisha mpk wao waliipenda niliweka break za kutosha ( me hua napenda sana beat zangu kuwa na break ).Wimbo uliofuata nilishindwa maana ulikua una minor za kutosha mpk nikawashaur tubadili uwe na format nyingine, walikubali ko cku hyo beat nilipiga moja.

Nilifurahi maana kalee ka beat ninako mpk leo hua nikikasikiliza hua nakumbuka mengi.

Ila cku hyo ndo nilijua sasa kinanda vizur yan mpk nimerud musoma hua napigia kwaya beat japo saiv nipo mbali na kinanda lakin kwenye simu yangu hakikosi hua napiga beats ili ujuz usiondoke.

nitarejea tena.
 
shusha nondo mkuu
 
Ndani ya kiwanda baridi hamna yani hata kama una sweta utalivua tu kutokana na barid sema ukitoka nje tu hiyo barid sio ya nchi hii.

Ni kweli simu haziruhisiwi kabisa hata wewe hurusiwi kuingia na msosi wako na hakuna kulala wakikukuta kazi huna ama wanakukata mshahara, kuna jamaa mmoja alilala karbu na mashine ya kupika material si akagusa wire wa kuwashia hyo mashine, mashine ikazima walimtimua kama mwizi.

Ila sisi tulkua tunatoboa kibishi
Hichi n kile kiwanda cha net kule kisongo?
 
Inaendelea

Siku zilivyokua sinasonga nilianza kuzoea mazingira ya Arusha, kama kawaida yangu kupiga misele ndo ilikua jadi yangu nahisi mitaa ya Arusha ambayo cjafika ni michache mpk loliondo nilitimba huko ndani ndani Arashi kote huko nilifika.

Pale nilipokua nimepanga tulikua wapangaji kumi, mmoja tu ndo alikua anaishi na familia yake, tuliyobaki sisi ni ma Bachelor...kuna mpangaj mmoja alikua ni binti wa kinyaturu cku moja alimpokea rafiki ake wakike ni Muiraq ( ndo hao hao wambulu tu )..huyo rafiki ake alikua ni mrembo kweli mweupe alafu mwembamba.

Huyo muiraq nilijikuta tu nimeanza nae mahusiano ( cjui hata yalianzaje hayo mahusiano )....kuna siku alinambia niende nae kwao ( karatu ) akawasalimie ndugu zake alafu turud cku hyo hyo.

Sijui kwanini nilikubali kilahisi vile....kazini niliomba ka likizo ka siku 4 ( kwa mwaka likizo jumla ziko 28 )....basi nilipewa kishingo upande hyo likizo na karani.Jumapili mapema tu tulikua kisongo tukapanda gari ( hice ) mpk karatu...tulipokelewa vizur na mzee wake, Mama yake alikwisha fariki tokw zamani ko alikua anaish na Mzee wake na ndugu zake wengine.

Siku nilikula vizur sana ( kwenye kupika nawa appreciate sana ) tulivyomaliza kula tukapiga story na hyo familia waliniuliza me mwenyej wap nikawaambia natokea Mara Tarime ( nilidanganya wilaya )...jioni ilifika tukashindwa kurud Matevesi gar zilikosa ko ilibid nilale pale ( ukweni ).

Kesho yake mapema tu tuliamua kusepa zetu,.....huyo Manzi niliona amechukua mabegi yake ya nguo me nikajua labda ameamua kuchukua tu kwenda nayo kwa huyo mnyaturu.Sikumuuliza kwanini achukue yale mabeg yake maana niliona hayanihusu.

Ile tumefika pale tunapoishi badala aingize yale mabegi chumba anachokaa.Yeye akayaingiza mageton kwangu....nilimuuliza "kwani loyce hayupo"....alijibu yupo nikamwambia mbn mabeg tena kwangu akasema kwanzia muda ule yeye ni mke wangu maana mpaka kwao nilishaenda na wananijua.

Pozi liliniisha kwa kweli mke tena usawa ule jamani,nilimwambia mbn hakunambia na mbona ni mapema hvyo asee me kuwa mume wake.Alijibu ndo ishakua tena alianza kupiga na usafi kabisa.

Hii ndoa nayo ilkua ni ya kibabe sana nilifikiria huyu mtu nitamtorokaje maana hizo pigo za kuishi na mwanamke nilikua ctaki kabisa...yani cku hyo nililala nae bila kumgusa kabisa.

Kwa vile likizo yangu ilibakisha siku mbili niliamua kwenda kwa wale washkaji zangu walionipokea kuwaambia hilo tukio...Walicheka sana wakanambia kuwa nilifanya makosa makubwa kwenda kwao na huyo manzi walinambia ni kawaida ya wasichana wa kule kujilengesha kwa wanaume ili waolewe hata bila mahari.

Niliamua kuishi nae hivyo hivyo nilikubaliana na hari.Uzur wake alkua hakai home alkua anafanya kazi mgahawa mmoja hivi uko kisongo karibu na sokoni kwa hyo alikua akitoka asubui anarud saa moja usiku.

Ila huyu manzi nilimuona ana msaada sana, me hua ni mvivu kwenye vikaz vya home ko alikua akivifanya yeye.

Nilikua nikipata mchepuko nilikua nampeleka kwa wale jamaa walio nipokea maana funguo za mlango wao nilkua najua wanapozitunzia.

Huyu mke nilikuona naona yupo serious na mimi alikua ana nambia kuwa anataka niombe likizo hata ya wiki mbili ili twende nae musoma akawaone Wazazi wangu.Nilimwambia labda mwezi December ndo nitachukua lkizo ili niende nae musoma.Lakin yeye alikataa akataka nimuongezee nauli alafu ni mdairekti ( direct ) aende mwenyewe.

Mwez September katikati Mama angu alikua anarud kwake yeye mwenyew lakin wagonjwa mmoja alienda dodoma na mwingine alienda Mwanza ( wa kike ndo yupo dodoma )...Mama nilimwambia kuwa nimepata mchumba, kabla hajarud musoma nili mwambie huyo wife aende morombo akawasalimie.

Mama anamkubali sana huyo mwanamke cjui kisa ni mweupe na kipindi cha nyuma ndo nimepewa taarifa za kuja Arusha Mama alinambia kuwa nikiona sana nimeshindwa kujizuia na wanawake nitafute mmoja niweke ndani kama mke.Ko nadhan alifurahi kwa hilo.

Mama aliondoka nae kwenda musoma yupo mpaka leo hii.Kipindi hayupo nilijinafas kuna msajili laini ( sim card's ) wa voda na yeye ni pisi kali ya kimbulu niliitafuna kimasihara tu, ila sio mageton kwangu ni kwa washkaji.

Kiwandani nilifanya kazi kwanzia mwez wa 07 mwez wa 11...

Bado na kama visa viwili au vitatu ni hitimishe Uzi wangu

Nitarejea
 
Shusha nondo mzeeee
 
Back
Top Bottom