Hadithi ya kweli ya maisha yangu

paragraph hii imenifanya niuzunike mnooo aiseee..... mimi nipo kwenye majonzi mazito mnooo... demu kaenda chuo na kuachwa nimeachwa aiseee, ninacho shukuru mimi najua kutafuta pesa naamini after two year ntakuwa na ela nyingi sana yani na kumiliki kila itaji la moyo wangu.
All the best mkuu, ndio maana siku zote kwenye mahusiano usikose plan B, plan C, Plan D...........Plan Z
 
paragraph hii imenifanya niuzunike mnooo aiseee..... mimi nipo kwenye majonzi mazito mnooo... demu kaenda chuo na kuachwa nimeachwa aiseee, ninacho shukuru mimi najua kutafuta pesa naamini after two year ntakuwa na ela nyingi sana yani na kumiliki kila itaji la moyo wangu.
Poleee
 
Inaendelea

Nirudi tena kwa Manzi angu...............

Kabla My wangu hajaenda chuo tulikua tunapendana balaa nikikumbuka mapenz aliyokua akinipa....ila mapenzi yakiwa yamenoga sana basi ujue ndo yanakarbia kuisha ( kwa kizaz chetu lakin ) kuna cku Manz alinambia anasafir kwenda Simiyu kuchukua Cheti cha form four ili aweze ku aplayi ( apply) Chuo, basi alinambia atarud cku hyo hyo ko nije nimpokee stend wakat akirud.

Kweli alisafir na wakat akiwa njian anarud alinambia niende kumpokea, ilikua usiku ckuhyo kimvua cha uongo kilinyesha na baridi ndo ilikua ya kutosha.

Mtaalamu ilivyofika saa mbili nilifunga ofisi huyo nikadandia boda kwenda kumpokea Mywangu nilifika stend ya zamani basi lilikua bado halijafika ilibid nimsubir.Ilifika saa tatu Basi likawa limefika AFRICA RAHA mtoto akashuka nikampokea pochi yake, tukaenda kwa boda mmoja ni mtu mzima tukapanda.Mywangu ndo alianza kukaa na kwa vile alikua amevaa kimini alikaa ki kike alafu me nikakaa nyuma yake.

Wakat boda iko kwenye mwendo wa taratibu me nilikua nampiga mabusu mazito mtoto wa watu mpk akawa hoi nilikua nampapasa kwenye matiti na kiunoni, cjui yule boda aliona wivu au hisia zilimzidi.Tulivyofika ile njia ya kwa mkuu wa mkoa tulishangaa pikipiki inasimama.Boda alitutaka tushuke tuchukue boda nyingine aligomba kuwa hatuna adabu yule myngu alimwambia adabu gani na huku hela unapewa .

Ila hili tukio nikilikumbuka hua nacheka tu....basi tulichukua boda nyingine maana yule boda alivyo tushusha hakutudai hata hela, tulipanda tukasepa mpk kwao na Manzi mitaa ya Kamnyonge tuliagana nikasepa zangu kwa rafiki zangu ni wape hyo story.

Sema hyo Mywangu alikua anapendwa na wengi walikua wakimtongoza ananambia fulani kamtongoza ko nilikua cna noma na hao wanao mtongoza maana nilijua nao wanajarbu bahat zao.

Me nilimwambia tu heshima ndo anipe.Jamaa mmoja tulikua tuna sali nae walikua ni marafiki wakubwa na Mywangu mpk kuna cku moja tukia church manzi alinambia anajiskia vby ko akaondoka kwenda kwao..nilimwambia anisubir sehemu hivi nitamkuta.Sasa ile sehemu tuliyokubalia kuwa nitamkuta nilifika nikamkuta kasimama na kale kafala ( rafiki ake )..niliwapita bila kuwa semesha hasira zikawaka hatari.Dem mwenyew alijua akanifuata ananiita siitiki ( eti nikawa nimenuna ) alinikimbilia akaanza kusema ooh...usinifikirie vby yule ni rafiki cjui nini cjui nini....yani alijitetea sana cku hyo akanambia me ndo bwana ake wa maisha ( ila nyie watoto wa kike nyie acheni laana za bure bure ) hasira ziliisha tukaanza kupiga story za kawaida.

Siku anaondoka kwenda chuo basii tabu ikaanza kuwa juu yangu...niki mtext kujibu mpk apende nikimwambia mbn kimya mara cjui yupo busy na kitabu na uki check last seen yake whatsapp ni online duh..na nilijua sina changu mpk nikakumbuka wasela walinambia kua huyu demu akishaenda chuo basi huna chako.

Demu alifanya stress zangu zizidi kuwa nyingi ukijumlisha na yule classmate kunipindua pale job.kuna cku ameweka status yupo na bishoo mmoja huko chuo ( Udom ) niliumia cjawai kuumizwa hivyo ila uzur hayo maumivu yalikua yananijenga chakula kikua hakipiti yani mpk home walikua wanambia mbn ckuiz huwa unakula wapi mbn hatukuon ukikula...yan nyie acheni tu mapenzi.

Kabla hatuja achana rasmi na bado alikua hajaenda chuo nilijisikia vby ckumoja nilimsaliti.

Siku hyo ilikua hivi....Nilitoka job usiku sana nilifika home nikawa na chat na huyo mywangu.nilitoka nje kuongea na simu.ile namaliza tu kuongea naskia sauti ikiniita hoy..holy we holy...ilikua ni saut ya kike

kalikua ni kabinti kadogo ka form two alikua anaishi na bibi ake na walikua ni jirani zetu.Nilimfuata kusikia anasema nini...hakua na chamaana sana kuniambia.Nilimtaka tukapige story kwenye ile nyumba yetu iliyokua bado haijamaliziwa kujengwa, kalizingua kidogo lakin kakakubali.

Ile naondoka naye hivi bibi ake alitoka nje acha aanze kugomba kuwa mampelekea wapi mjukuu wake.niliona ili asilete noma nilimpa buku 2 huyo bibi akatulia kama sio yeye aliyekua anagomba.Alitaka niwai kumrudisha mjukuu wake.

Tulienda kwenye hyo nyumba ckua na story ko nilikapiga rungu katoto ka watu alafu nikarudisha kakalale.

Hako katoto nako kalienda kusimulia kwa marafiki zake ko noma ilikuepo lakin sio sana.

Tarehe 01 January 2020 ndo mapenzi yangu na Mywangu yalifika tamati siku alinipigia ( wakati huo yupo chuo ) akanitakia heri ya mwaka akadai mapenz yetu yazid kukua kwa jina la Yesu kristo.

kesho yake tarehe 02 nikaona status kaniweka kaandika caption old alafu status iliyofuatia alikua yeye na mpenzi wake mpya kaandika "*new chapter *".....jamani me nilikua na mademu wengi lakin cku hyo niliumia sana.

Mpk niliweka hapa Uzi nikiomba msaada wa namna ya kusoma sms za mpenzi wako bila yeye kujua.

Nilimua kwa muda lakini niliona ni ujinga kwa mtu kama mimi kuumia umia kisa mapenzi.Kwanzs nilimtafuta lizy wangu tukayajenga upya ingawa alikua mdangaji ckua na namna kabisa.

Note.Hapo nimewarudisha nyuma kidogo kabla cjaanza kutapeli/ kudhumu watu.

Nitarejea.
Mzee Old
 
Umetuweka sana mzee tutasahau matukio
 
Inaendelea

Wakati nikiwa bush nilikua nikikaa alone basi nilikua namkumbuka sana hyo Manzi hyo hari ilikua inanitesa moyoni.

Pindi ndugu zangu wamekuja nao bush atleast nika avoid hyo situation...bro wangu alinambia kuwa kanitafutia kazi kiwandani ko niende kupiga kazi kuliko kukaa home bila kazi maalumu.

Nilikubali na kiwanda kilikua kiko Arusha nilitakiwa mwezi wa nne niwe Arusha kuanza kazi ( sikuambiwa na sikuuliza kiwanda kinatengeneza nini ).....lakini kutokana na Korona kupamba moto sana kiwanda kilisitisha kwa muda kupokea watu.

Ilibidi nisubir mpk waanze kuchukua tena watu....bush nilikaa mwez mmoja nikapachoka kutokana kaz ya kupalilia aaah...kiukweli ckuweza niliamua kurud tu musoma kwa vile Nyumban kwao mama ni wakulima wa mpunga, Bibi kizaa Mama alinituma gunia mbili na Nusu..ko mimi nilichukua kilo 80 ili nikifika nazo msoma niuze kwa wadau.

Basi siku ya safari nilishangaa....bro ma yule mdogo wangu ( mwiz ) nao walitaka kuondoka bush basi kwa pamoja tukasepa kurud musoma.Bush walibaki Mzee, mama na ndugu zangu watatu.

Nikiwa musoma niliuza ule mchele kama kilo 50 kwa kilo 1 sh 1000 watu walikua wanaung'ang'ania hatar.

Kwenye mwez mei hivi kuna dogo mmoja alinifuata pale ps.

Nilitaka kusahau kuhusu yule classmate wangu kumwelezea .

Wakati nikiwa bush boss siku moja alinipigia simu akaanza kunieleza madudu ya classmate kuwa ckuiz kawa mjanja na hela haioni.Mpka akawa anasema bora ungebaki kupiga na cjui kwanini nilimkimbia. duh..nilicheka na kusikitika kwa wakati mmoja.Huyo boss alisahau kuwa hyo biashara ina wenyewe na wenyew ilikua ni sisi kiukweli alikurupuka sana kumweka classmate wangu ndo asimamie kila kitu.

Me nilimpa pole tu nikamwambie amvumilie ataziona hela.Hazikupita siku nyingi classmate nae alinipigia simu, alikua anadai kuwa kuna demu alianza nae mahusiano kumbe demu alikua ni mdangaji hatari.Hela za ps zilikua zinaishia kwa huyo demu.

Alitaka nimsaidie 240k ili ampe boss wake maana alikua hajampa boss hela kama wiki tatu karbu mwez hela ya ps.Yaani alikua hana hata aibu kuniomba hela yote ile maana nikikumbuka nilivyokua nikimuomba hata buku tu ya msosi anasema hana hela.

Nilimwambia siko vizur kipesa labda nimpe 20k akasema nimkopee kwa mtu.jamaa alikua fala nilikataa ikabid nimpe tu hyo 20k.

Jamaa boss alimtema ko alifunga ps kwa muda akawa ananisubir nirud msoma niendelee na job.Sikutaka kurudi kupiga job pale tena nilichofanya nilivyorud msoma nilienda tu ps nikakaa kwa muda nikawa na mtafutia dogo ili ampigie kaz maana me nilijua muda wowote nasepa zangu Arusha.

Turudi tena kwa huyo dogo aliyenifuata ps.Huyo dogo alikua anasimu anauza ( samsung A20 ) lakini ilikua mbovu ( screen na touch vilikua vibovu ) ko alitaka nimpe 50k tu.Nilikubali lakin nikamwambia kwa muda huo sina kitu aje kesho yake achukue pesa.

Niliipeleka simu kwa fundi aone itani cost shngp kutengeneza kwa vile fund nilikua nafahamiana nae alinambia kioo na touch pamoja na hela ya fund jumla nimpe 160k nililia lia akakubali kunitengenezea kwa 120k cku fund nikampa 10k kwanza ikabaki 110k.

Na nilikua sina smartphone kabisa ko nilitaka hyo simu fundi atengeneze chap ili nirud mtandaoni.Kama kawaida ya mafundi sio waaminifu kila nikienda anasema njoo kesho njoo kesho yani mpk mwezi wa sita ukafika ni njoo kesho.

Wakati fundi ana nambia njoo kesho na mimi ndo nilikua namwambia yule dogo mwenyewe simu hivyo hvyo.Na mwezi wa sita ilifika kiwandani niliambiwa niende na hapo hapo Mzee alikua amepata mkwanja ( cjui alitoa wapi ) mkwanja ulikua mrefu sana, alinipa 1.2 milioni za kuanza nazo maisha, nilichofanya nilichukua 300k nikanunua smartphone Samsung A30 na vitu vingine vya kwenda navyo chuga.kwenye yale matumiz nilijikuta nimebaki na laki 8.

Kwa vile likizo ilikua imeisha basi ilibid pia wale wadogo zangu wawili ( wa kike na yule mwiz ) pamoja na sister tusafir nao pamoja kwenda wao wakiwa wanaenda kwanza Karatu kuchukua vitu fulani alafu ndo waende dodoma.

Siku ya safar me niliwaambia kwanini wasisubir twende siku inayofuata, walikataa wakasema wanawai, basi me ckwenda nao.Kesho yake ilikua ni cku mby sana kwetu kama familia tulipata habari kuwa sister na wadogo zangu wawili basi walilokua wanasafiria limeanguka na kuua na kujeruhi.

Sister angu yeye hakuumia kabisa lakin hao madogo ndo waliumia sana hasa huyo wakike aliumia vby yani alkua mahututi.Waliwapeleka hospital iliyokua jiran na mdogo wangu huyo wa kike alihamishiwa hospital ya mkoaranga akawa anapigania maisha yake ( ICU )...huyo wa kiume yeye alivunjika mguu, wakike nae alivunjika mguu vby mpk saiz hawez kutembea bila magongo.

Nacho shukuru ajali hyo ilitokea Mzee alikia ana hela sana ko pesa ilitumika nyingi sana kwenye matibabu..yan nyie acheni tu kila muda tulikua tunapigiwa simu kuwa tumuombe mdogo wetu muda wowote ana kata kamba.

Sicheki kwa mazuri ila katika kipindi nilichomkumbuka Mungu kwa dhati ni hicho kipindi nilikua naomba kila muda tena kwa dhati.

Mungu ni mwema sana alijibu maombi na Huyo dogo kwa uwezo wa Mungu alipona ubaya tu ndo hatembei dogo.

Ngoja nikomee hapa kwanza nitarejea.

Poleni kwa kuwaweka sana.
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom