[emoji3][emoji3] hapa hatuko huko kwa matajiri
Mwanamke anayedeka kipindi cha uchumba,boyfriend/girlfriend sawa,ila mkisha ingia kwenye majukumu ya ndoa/kulea mwanamke asiyeumiza kichwa anachosha sana. Hata kama mwanaume una pesa ya kutosha,kuwa na mwanamke kila kitu anatafuniwa inaboa sana.