Hadithi: Wakili wa moyo

Hadithi: Wakili wa moyo

Vuteni subira wakuuu msiwe na haraka tunaenda taratibu sitawaacha nitawawekea kila inapokuwa tayari sehemu ya 50 bado jamani
 
Alianza mizambwa akatuacha solemba,akaja bucho nae katutelekeza....kaja huyu mfalme Daudi1 naona ana dalili za kututelekeza
 
Mioyo inaenda mbiooo..kila wakati tunachungulia nani kapewa kabrasha...msitufanyie hivo banaaa
 
Mizambwa,Bucho na Daudi1 mbona mnatufanyia hivyo? Vibaya hivyo Mungu apendi!!!
 
Mimi nipo jamani sijawakimbia hadithi bado haijaendelezwa,ikiendelezwa tu mimi nawadondoshea kwa hisani ya Mr Rocky
 
Wapendwa wana JF;

Samahani sana kwa kuwatoroka kwa muda wa zaidi ya wiki sasa. NIlikuwa katika sehemu mkoani ambako hakuna mawasiliano ya Computer hivyo nilikuwa kama nipo shimoni.

Nawashukuru wote mliofuatilia hadithi hii na PIA NAWASHUKURU WOTE WALIOIENDELEZA MF. BUCHO NA DAUD1 kwa ushirikiano wao mzuri na wote walioendelea kuifuatilia.

Kama alivyosema DAUD1 hapo juu, hadithi ataiendeleza, tuwe na subira.

Kuna kitu kingine nitakiweka hapa kina EPISODY chache sana lakini cha kusisimua sana. Nitakirusha hewani kuanzia kesho asubuhi hapa MMU.

Very sorry for the inconvenience
 
Dah... mkuu mizambwa ulituacha wakiwa bhana.. siku nyingine uwe unaaga ili tusiwe gizani..
 
Wapendwa wana JF;

Samahani sana kwa kuwatoroka kwa muda wa zaidi ya wiki sasa. NIlikuwa katika sehemu mkoani ambako hakuna mawasiliano ya Computer hivyo nilikuwa kama nipo shimoni.

Nawashukuru wote mliofuatilia hadithi hii na PIA NAWASHUKURU WOTE WALIOIENDELEZA MF. BUCHO NA DAUD1 kwa ushirikiano wao mzuri na wote walioendelea kuifuatilia.

Kama alivyosema DAUD1 hapo juu, hadithi ataiendeleza, tuwe na subira.

Kuna kitu kingine nitakiweka hapa kina EPISODY chache sana lakini cha kusisimua sana. Nitakirusha hewani kuanzia kesho asubuhi hapa MMU.

Very sorry for the inconvenience

Mkuu kama unayo endelea tuu...
 
Mkuu Daudi1 mbona weekend imepita na kimya kingi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom